KAMA NI WEWE UTAFANYAJE??

Alwatanbhai

Member
May 1, 2013
74
77
Umeenda kutembea ukweni kwako baada ya chakula chausiku unapewa chumba chakulala inapofika usiku unatakakutoka kwenda kujisaidi kwasababu taa zimezimwa unapamia vyombo vya chakula sebleni kipindi unajalibu kupapasa uviweke sawa mala taa inawashwa na mama mkwe anaona umeshika vyombo anakwambia, baba kama ukushiba ungesema kama niwewe ungejibu je?
 
Mimi nilikwenda Tanga kwa wazee wa demu wangu kufika usiku mkojo ulinibana nikawa naelekea chooni sasa mlango wa chooni kuufungua naona kitanda. Mara naona mwanga wa taa Hee si kumbe chumba cha dada yake mwanamke wangu:eek::mad: alipiga kelele Baba na Mama wa mwanamke wangu walikuja mbio. Kilichotokea hapo ilibidi asubuhi niage tuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom