Waunda bodi za Mabasi ya TZ na Kenya

Waunda bodi za Mabasi ya TZ na Kenya

mimi sikatai kaka nilishawai kutembelea sehemu moja wanaita induries area huko nilikuta mafundi wengi watoto wa tanga tena inasemekana wapo kwenye iyo industries ya kutengeneza hizo body za ma3 na mabasi sasa nikagundua kua wanachukuliwa huku tanzania wanakwenda kutumika huko........ ujuzi uko huku...... hilo basi sasa linaonekana kuzidi uzito kwa nakshii huku kwetu hatitadumu kwa milima na ubali kunamahail basi linalazimika kutembe 1500km ndio maana hayo mabasi hayawezi kumudu hali ya masafa haswa TZ.....
c2fb6beebcae2826a089c598f8cad735.jpg
b43a763b42f291b51140725873cdb06c.jpg
7c0035ba11091d5c9dc3043e2bd4d205.jpg
081708a4efc0fa502891f918c08d06cd.jpg
729cf3819daa6651fbd056e227243964.jpg
4ee2ad63ac9a71f94bb0587256b7bf7c.jpg
ea422ebd843f45b49df22726b61ee191.jpg


Hiyo ni CHODA FABRICATORS MKUU
[/QUOTE]
Industrial Area, Grogan, River road, Kirinyaga road. Taja na zingine. "Garage mwitu" hizi kwa wingi. But still, they know their stuff. I see where we are going wrong. Tunazungumzia LSHS, CFG na zinginezo. Kumbe umekua unalinganisha garage mwitu za Kenya na mainstream dealerships za Tz! [emoji33] [emoji33]
 
siziju labda east africa mnazo nie tu...hahahha iawezekana nazozijua ni kutengenza mabasi yenye kukizi psv reg international na sio ke natani NTSA imekaa ki kei kaidi ndio maana mabasi kwenye hiyo picha havuki boda..labda waweke chases mbili gari limewekwa korombezooo kama lakwenda .....
Shida hiyo hapo. Elewa kwanza kitu, then kizungumzie. Kenyan buses with Kenyan registration operate not only in Tz but also zapatikana hata Kigali, Kampala na mwingine on a daily basis. Hujayaona?
 
Mkuu hata kama unawachukia wa kenya si kihivyoo

yote ya kenya uliyo yaweka hapo ni matatu
luxury-bus.jpg
 
Hata sijuwi unaelekea wapi na NTSA business. Labda tuongea mengine, umekula kijana?
Huenda umezoea kupewa vitu 100% ndio uelewe.

Mtoto akipiga teke akiwa tumboni mwa mamake huona hapo kiwanja tosha! Karibu kwenye meza ya wazee. Aonacho mzee akiwa amekaa, kijana kama Wewe huezi ukaona ukiwa umesimama.

Nimesema; Elewa sheria kwanza. Ukishaelewa, utajua mbona kuna tofauti ya design na mambo mengine pia. Mwanzo najua leo siku yako ya kwanza kusikia kuhusu NTSA ndio maana huna la kuchangia hapo.
 
Braza Hawa wakenya bado wapo mbali sana si rahisi kuwakamata wanajua wanachokifanya pamoja na inchi yetu ya viwanda lkn kwa hili la body za magari nachelea kusema inchi yangu bado sanaaa

c2fb6beebcae2826a089c598f8cad735.jpg
b43a763b42f291b51140725873cdb06c.jpg
7c0035ba11091d5c9dc3043e2bd4d205.jpg
081708a4efc0fa502891f918c08d06cd.jpg
729cf3819daa6651fbd056e227243964.jpg
4ee2ad63ac9a71f94bb0587256b7bf7c.jpg
ea422ebd843f45b49df22726b61ee191.jpg


Hiyo ni CHODA FABRICATORS MKUU
Hizo rangi na muundo wa mabasi haya hayawezi kufanana kwa standard na bodi zinazotengenezwa na TZ. Magari mengi yanayokwenda pembezoni mwa mikoa/vijijini barabara zilizo mbaya ndio hutumia bodi kama hizo.Kwa kifupi hauwezi ukaweka gari kama hizo kwenye ruti zinazotoka Dar ukapata abiria labda hiyo njia iwe mbovu na hakuna alternatives nyingine.Design ya hizo bodi zilikuwa zinatumika zamani na zilikuwa zinatengenezwa locally na Kenya kwa kuweka chesisi za maroli.Soko lake lilikufa baada ya serikali kujenga barabara za lami kuunganisha mikoa lakini pia baada ya serikali kupiga marufuku chesis za maroli na hivyo kutoa fursa kwa mabasi ya luxury kutoka China kuingia sokoni.Matajiri wengi walikimbilia mabasi ya kichina kutokana na kuwa luxury,bei ya chini na pia mahitaji ya soko (abiria).Ndio maana Scania wakaja na idea ya kutengeneza hiyo brand ya Dar coach ambayo ni Luxury lakini pia ni less cost ukilinganisha na mabasi ya Scania yanayotengenzwa Ulaya au Brazil.
Mkuu ukiziona hizo basi kwa ukaribu nje na ndani hautapanda mbele ya bodi zinazotengenezwa hapa nchini
 
Mkuu hata kama unawachukia wa kenya si kihivyoo

yote ya kenya uliyo yaweka hapo ni matatu
luxury-bus.jpg


Tunalinganisha bodi zinazotengenezwa TZ na Kenya hakuna uhasama.Hizi basi uliopost ni basi za Scania Higer a80 ambazo bodi zake zinatengenezwa China na Higer China kwa kutumia injini za scania. Hatujasema kwamba Kenya hakuna basi nzuri
 
Tatizo la Wakenya mnaokota picha za mitandaoni kisha mnadanganya huku mkiwa hamuelewi kwamba hiki ni kipindi cha mtandao.Hizo Modern Coast ulizoonyesha ni SCANIA HIGER A180 na bodi zinatengenezwa china kwa kutumia injini za SCANIA za Sweden.Kenya hamna uwezo wa kutengeneza bodi ambazo ziko smooth kama za TZ.Hizo bodi ngumu za chuma mnazotengeneza tayari wenye mabasi mengi hapa TZ wameachana nazo hazina market kwa sababu ya kuongeza uzito kwenye mizani na of course zinaundwa kwa kutumia CHESIS za maroli.Mbaya zaidi bodi mnazotengeneza hazina mpangilio nzuri wa rangi.It is too colorful kiasi kwamba zinakera.

View attachment 420170

Modern Coast brand ya Oxygen SCANIA HIGER A 180 za Kichina
View attachment 420173
scania higer a180 ndani
Nikadhani hizi ni bombadi
 
last time nilikosa dar expres, lux na tameed nikapanda ilo mordern was so disappointing tulilazimika kusima kila mizanii maana limezidisha uzani.... halikimbii kutokana na uzito wake nikafika dar saa 7 zza usiku
Naliitaga jongoo [emoji23][emoji23][emoji23] basi za kenya hpa zilikuwa Akamba tuu
 
Braza Hawa wakenya bado wapo mbali sana si rahisi kuwakamata wanajua wanachokifanya pamoja na inchi yetu ya viwanda lkn kwa hili la body za magari nachelea kusema inchi yangu bado sanaaa

c2fb6beebcae2826a089c598f8cad735.jpg
b43a763b42f291b51140725873cdb06c.jpg
7c0035ba11091d5c9dc3043e2bd4d205.jpg
081708a4efc0fa502891f918c08d06cd.jpg
729cf3819daa6651fbd056e227243964.jpg
4ee2ad63ac9a71f94bb0587256b7bf7c.jpg
ea422ebd843f45b49df22726b61ee191.jpg


Hiyo ni CHODA FABRICATORS MKUU
Khaaaa!! Mbn miundo ya kizamani hyo jaman [emoji23][emoji23][emoji23] au hizo rangi na limu ndyo zinakudngnya? Anyway labda kenya ndyo fashion hyo bt chukua hiyo kisha chukua Dar coach then peleka USA, UK, Brazil au China Muone kitakachowatokea, Dead [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
sticker branding kila mtu anafanya ndugu hata mafundi rangi siku izi wanafanya......... kwaio nadhani igelikua zaidi kama na hiyo helicopter mgelitengeneza maana kama kungelikua ni zama zile bob ugelinadi limetengenezewa kenya kaaah
Wanatufunga kamba hawa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu hata kama unawachukia wa kenya si kihivyoo

yote ya kenya uliyo yaweka hapo ni matatu
luxury-bus.jpg
cheki sasa madeee unajikanyaga unataka kuniambia hii buss imtengenzwa kenya na wakati ni OG inaonekana imekuja hivyo tokea huko scanavia countries duuuh haya ngoja nipake..kwikwikwi
 
Wakenya hayo magari kwanini mnayachafua na rangi za ajabu hivyo?
 
cheki sasa madeee unajikanyaga unataka kuniambia hii buss imtengenzwa kenya na wakati ni OG inaonekana imekuja hivyo tokea huko scanavia countries duuuh haya ngoja nipake..kwikwikwi
Hizo ni Scania higer A80 zinatengenezwa China.Kenya hawana bodi za aina hii
 
Huenda umezoea kupewa vitu 100% ndio uelewe.

Mtoto akipiga teke akiwa tumboni mwa mamake huona hapo kiwanja tosha! Karibu kwenye meza ya wazee. Aonacho mzee akiwa amekaa, kijana kama Wewe huezi ukaona ukiwa umesimama.

Nimesema; Elewa sheria kwanza. Ukishaelewa, utajua mbona kuna tofauti ya design na mambo mengine pia. Mwanzo najua leo siku yako ya kwanza kusikia kuhusu NTSA ndio maana huna la kuchangia hapo.
Umezowe kutoka nje ya mada, tokea Uzi umeanza unapanua mjadala kuleta vitu ambavyo sio part ya mada. Badala ya kuchunguza nilicho sema unaleta utoto wa swali juu ya swali. Hivi kampuni za Kenya haziruhusiwi kuagiza basi toka SA? au mabasi yanayotengenezawa SA hayana kiwango kinachokubalika Kenya? Narudia tena hii mara ya mwisho, KAMPUNI ZINGINE ZA MABASI ZA KENYA, WANANUNUWA MABASI YAO KUTOKA SOUTH AFRICAN PERIOD.
 
Hivi hii issue ya kujilinganisha na Kenya itaisha lini maana sioni wakisema Rwanda au Uganda
 
Umezowe kutoka nje ya mada, tokea Uzi umeanza unapanua mjadala kuleta vitu ambavyo sio part ya mada. Badala ya kuchunguza nilicho sema unaleta utoto wa swali juu ya swali. Hivi kampuni za Kenya haziruhusiwi kuagiza basi toka SA? au mabasi yanayotengenezawa SA hayana kiwango kinachokubalika Kenya? Narudia tena hii mara ya mwisho, KAMPUNI ZINGINE ZA MABASI ZA KENYA, WANANUNUWA MABASI YAO KUTOKA SOUTH AFRICAN PERIOD.
I picked what you said. Niko ndani ya mada. Umeshindwa kitetea maneno unayosema. My question still stands.
Kampuni gani hiyo inayotoa SA? Huna jibu.

My guy, seems you know so little and the little that you know, you still don't know it well.
 
Back
Top Bottom