Waunda bodi za Mabasi ya TZ na Kenya

Waunda bodi za Mabasi ya TZ na Kenya

Chaguo ni la mtu. Kuna pimped matatus na za kawaida tu. Kinachokukera Wewe chapendeza mwingine. Hata mnazoita luxury buses: kuna aina tofauti +254.

Halafu nani alisema mtu akikukosoa au awe na maoni tofauti nawe lazima uje useme "wakenya"?
Besides, there are some beautiful pieces of art on Tanzanian roads. Sijapinga.

Punguza stereotyping mkuu!
 
Usinifanye sijawa kuja Kenya na sijapamda matatu, service wanayoitowa kwa abiria ni maskini tuu anweza kuvumilia. Kekele ya miziki, speed, na careless crew. Tray Songz amekuja Kenya kuona local life ikoje, kupanda ma3 kwake ni kujua na kujuwana na local ppl. Siekewi unamaana gani unapisema "customization" is it kubandika stickers nje ya basi ndio kuipa identity au vunja vunja hiyo basi na kujenga tena.
Nenda ukaone "pimp my ride US version" then uje tuongee kuhusu customisation. Huenda hata mada uliyoleta huielewi vyema.

But I agree with you, some crew are very rude. Wanaitwa watu wa squads hao. Ndio maana tuna NTSA. Speak from a point of knowledge. Unafahamu NTSA? traffic acts za Kenya? We are all under the African sun, Tz pia kunao hapo aggressive crew kwenye daladala. Si siri
 
Sina uwo mda nenda Nairobi kenya utaona kwa macho yako then ukimaliza just pay a visit kwenye kampuni hizi KVM,choda,malva,master,KCI waombe latest bus body product sawa.
Waambie!
 
Usinifanye sijawa kuja Kenya na sijapamda matatu, service wanayoitowa kwa abiria ni maskini tuu anweza kuvumilia. Kekele ya miziki, speed, na careless crew. Tray Songz amekuja Kenya kuona local life ikoje, kupanda ma3 kwake ni kujua na kujuwana na local ppl. Sijakuelwa una maana gani unapisema "customization" is it kubandika stickers nje ya basi ndio kuipa identity au vunja vunja hiyo basi na kujenga tena.
Labda nikuulize... When did you visit Kenya? Ulipanda ma3 za kuenda wapi au kutoka wapi?
 
Nenda ukaone "pimp my ride US version" then uje tuongee kuhusu customisation. Huenda hata mada uliyoleta huielewi vyema.

But I agree with you, some crew are very rude. Wanaitwa watu wa squads hao. Ndio maana tuna NTSA. Speak from a point of knowledge. Unafahamu NTSA? traffic acts za Kenya? We are all under the African sun, Tz pia kunao hapo aggressive crew kwenye daladala. Si siri
First of all mimi sio nilieleta mada, second mada was about long distance buses not panya cars (mbona inkuwa vigumu to scroll back na kusoma tena). Third pimp my ride is an American show dealing with America audience. USA isn't Kenya or Africa, navyo ona unanza kwenda off the rail na ubishi usiokuwa na maana. Some Kenya passenger bus zinatoka South Africa kipi ambacho kigumi kuelewa? Wananunuwa huko sababu 1, cheaper from S A, 2 delivery time ni shorter ukilinganisha na Kenya.
 
Mbna kenya imeanza kuunda bodi kitambo, wakati huo tanzania luxury zilikuwa zakumulika kwa toch
 
Anhaa!
Ndio maana Tahmeed ikitangulia kutoka Nairobi 530am Modern yafika mbele yake licha ya kutoka kituo 6am?

Anyway, hakuna aliyezungumzia story ya engine hapa. Au acha nikupe muda. Enhee! Niambie basi: Scania umetaja na sina ubishi. Hata sijui fujo umetoa wapi. Nashuku hapa sasa uko tayari kuniambia Dar umefaulu kujenga engine ya basi. Nijuvye
wewwewwew acha uongo mimi ni mfanya biashara basi lakwanza kufika ni DAR EXPRESS BROOO hakuna cha mordern.....
 
hebu muonyeshe landcruser Hardtop..aaache ubishi zinazotengenezwa na kuongezwa bodi kwajili ya kwenda n watalii mbugani aka national park... hawa bado wapo enzi za chai marage kama mnakumbuka... miaka ya 1970
 
Usinifanye sijawa kuja Kenya na sijapamda matatu, service wanayoitowa kwa abiria ni maskini tuu anweza kuvumilia. Kekele ya miziki, speed, na careless crew. Tray Songz amekuja Kenya kuona local life ikoje, kupanda ma3 kwake ni kujua na kujuwana na local ppl. Sijakuelwa una maana gani unapisema "customization" is it kubandika stickers nje ya basi ndio kuipa identity au vunja vunja hiyo basi na kujenga tena.
hatujaongele umaskini hapa wala habari za wanaoenda ng'ong au kitengela hapa tunaongelea maendeleo ya uboreshwaji wa muonekano kulingana na matakwa ya seria za pande zote unakuta hayo mabasi yenu hayawez kuja huku kwajili ya kuzidi uzito lakini yanayotengenzwa huku yanaweza kuja huko......bosss ata ukimremba vp bibi kizee awezi kua binti kigoli
 
Sina uwo mda nenda Nairobi kenya utaona kwa macho yako then ukimaliza just pay a visit kwenye kampuni hizi KVM,choda,malva,master,KCI waombe latest bus body product sawa.
Cna muda wa upuuzi wa kenda kenya wakati bongo kuna Nanaki body built, Dar coach punguani ww
 
SCANIA DAR COACH - Made in TZ vs SCANIA HIGER A80 made in China

IMG_0088.JPG

13740993_1586396361654752_148208983_n.jpg


scania dar coach Tz

images.jpeg


4350156495_198bc2a984_z.jpg

scania higer a 80-China

Design of bus body, it's integration with chassis & systems
(e.g., AC, Heating, Electronics, Voice & Data Communication Ventilation, Lighting, Trim & Seating etc.
As per customer needs.)
qualit4.gif
Weight optimization, Standardization & Modular Design
Conformance to Regulatory Requirements
qualit4.gif
Compatible with Design, Customer & Market Requirements

Value for money

qualit4.gif
Styling
qualit4.gif
Innovative and attractive styling from inside to outside

Passenger & Driver Comfort
qualit4.gif
Ergonomics
qualit4.gif
Low noise & Vibration, Seating, Soothing Ambiance, AC/Heating, Ventilation, Lighting, Visibility etc.

Product Quality
qualit4.gif
Reliable & Durable

Kuna haja sasa ya hawa jamaa kuanza kutafutia soko gari za nje ya nchi maana quality zake hazina tofauti na bodi za nje
 
SCANIA DAR COACH - Made in TZ vs SCANIA HIGER A80 made in China

View attachment 420214
View attachment 420228

scania dar coach Tz

View attachment 420215

View attachment 420227
scania higer a 80-China

Design of bus body, it's integration with chassis & systems
(e.g., AC, Heating, Electronics, Voice & Data Communication Ventilation, Lighting, Trim & Seating etc.
As per customer needs.)
qualit4.gif
Weight optimization, Standardization & Modular Design
Conformance to Regulatory Requirements
qualit4.gif
Compatible with Design, Customer & Market Requirements

Value for money

qualit4.gif
Styling
qualit4.gif
Innovative and attractive styling from inside to outside

Passenger & Driver Comfort
qualit4.gif
Ergonomics
qualit4.gif
Low noise & Vibration, Seating, Soothing Ambiance, AC/Heating, Ventilation, Lighting, Visibility etc.

Product Quality
qualit4.gif
Reliable & Durable

Kuna haja sasa ya hawa jamaa kuanza kutafutia soko gari za nje ya nchi maana quality zake hazina tofauti na bodi za nje
Exactly
 
Mkuu darcity, hivi gharama za kuunda body ya basi inaweza kufikia kiasi gani kwa fedha za madafu.

Yaani mimi naleta chasis tu na nnahitaji kuundiwa basi langu mwenyewe.

Unaweza kuwa na roughly idea?
 
Mkuu darcity, hivi gharama za kuunda body ya basi inaweza kufikia kiasi gani kwa fedha za madafu.

Yaani mimi naleta chasis tu na nnahitaji kuundiwa basi langu mwenyewe.

Unaweza kuwa na roughly idea?
Hapana mkuu sina idea ya gharama
 
First of all mimi sio nilieleta mada, second mada was about long distance buses not panya cars (mbona inkuwa vigumu to scroll back na kusoma tena). Third pimp my ride is an American show dealing with America audience. USA isn't Kenya or Africa, navyo ona unanza kwenda off the rail na ubishi usiokuwa na maana. Some Kenya passenger bus zinatoka South Africa kipi ambacho kigumi kuelewa? Wananunuwa huko sababu 1, cheaper from S A, 2 delivery time ni shorter ukilinganisha na Kenya.
Umeuliza maana ya customisation.
Umepata jibu. Hujapendezwa kujua all that and more is done in Africa au?


Then, be free. Tuambie. Basi zipi zimetoka SA??
Nawe pia scroll back utaona swali hilo
 
Back
Top Bottom