Waunda bodi za Mabasi ya TZ na Kenya

Waunda bodi za Mabasi ya TZ na Kenya

Umezowe kutoka nje ya mada, tokea Uzi umeanza unapanua mjadala kuleta vitu ambavyo sio part ya mada. Badala ya kuchunguza nilicho sema unaleta utoto wa swali juu ya swali. Hivi kampuni za Kenya haziruhusiwi kuagiza basi toka SA? au mabasi yanayotengenezawa SA hayana kiwango kinachokubalika Kenya? Narudia tena hii mara ya mwisho, KAMPUNI ZINGINE ZA MABASI ZA KENYA, WANANUNUWA MABASI YAO KUTOKA SOUTH AFRICAN PERIOD.
Halafu, haina haja kuleta matusi.

Hivi mtu akikukosoa au awe na msimamo tofauti nawe, lazima ulete ubishi na kuwaita majina?

Kuna watu wamechangia na wameonyesha ustaarabu + they have shown that they know road safety acts, regulations, laws and standards. Hapo ulipotea, hukuchangia.

Rather than entertain you and your school of thought, I think I'd rather engage in a meaningful discussion with such cultured gentlemen who know how to agree to disagree + bring up quality facts they can defend.
 
I'm going to ignore umesema nimekutukana, maana kama unaona nilivyo kujibu huko nyuma ni matusi then sidhani kama unajuwa matusi nini. Anyway there is more than one way to skin a cat, Kenya doesn't import any fabricated buses from South African, and Kenya makes the best buses compares to Tanzania. Better?
 
Back
Top Bottom