Marisia
JF-Expert Member
- Aug 18, 2016
- 234
- 344
Zaidi, ashasikia kuhusu NTSA na crackdowns zao? Anajua kuhusu sheria za traffic 254?Mkuu wakenya pia wanamabasi mazuri. Uluzoweka hapo nyingi ni matatu sio basi za masafa marefu. Ni sawa na daladal za Tanzania.
Ataelewa mbona leo matatu, jav au basi ni "mbichi"/ latest then kesho kutwa haionekani tena barabarani