Waunda bodi za Mabasi ya TZ na Kenya

Waunda bodi za Mabasi ya TZ na Kenya

darcity

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2009
Posts
9,376
Reaction score
18,463
Muundo wa body za mabasi yanayotengenezwa TZ na Kenya ni tofauti.
Bodi za TZ (SCANIA DAR COACHES)
13715234_1191136790949853_881315588_n.jpg

Mbele

13740993_1586396361654752_148208983_n.jpg

Dar Express na bodi zilizoundwa TZ na DAR coach

IMG_0088.JPG

Mabasi yenye chesis ya SCANIA na Bodi zilizoundwa TZ
fm1.jpg

img_0853.jpg

fm int.jpg

Ndani
IMG_0891.jpg

Kwenye Dashboard

Bodi za Kenya

Makkah-bus-2014-side.jpg

MOYALE-Aug2-3.jpg

p1010449.jpg

p1010451.jpg

Makkah-bus-2014-side.jpg

Kwa hapa Wakenya watasubiri sana
 
Attachments

  • fm int.jpg
    fm int.jpg
    49.2 KB · Views: 229
  • Malva-Institution-Bus.jpg
    Malva-Institution-Bus.jpg
    61.1 KB · Views: 270
Muundo wa body za mabasi yanayotengenezwa TZ na Kenya ni tofauti.
Bodi za TZ (SCANIA DAR COACHES)
View attachment 419333
Mbele

View attachment 419334
Dar Express na bodi zilizoundwa TZ na DAR coach

View attachment 419336
Mabasi yenye chesis ya SCANIA na Bodi zilizoundwa TZ View attachment 419337

View attachment 419338
View attachment 419339

Ndani View attachment 419340
Kwenye Dashboard

Bodi za Kenya

View attachment 419342
View attachment 419344

View attachment 419345

View attachment 419346

View attachment 419347

Kwa hapa Wakenya watasubiri sana
Mkuu wakenya pia wanamabasi mazuri. Uluzoweka hapo nyingi ni matatu sio basi za masafa marefu. Ni sawa na daladal za Tanzania.
 
Tanzania tuko mbali, tuanze kuwafundisha kazi. Gari za kitalii Tanzania tunaunda zuri zaidi.
kweli mkuu standard zetu ni za juu sana ukilinganisha na nchi nyingine.
 
Mkuu wakenya pia wanamabasi mazuri. Uluzoweka hapo nyingi ni matatu sio basi za masafa marefu. Ni sawa na daladal za Tanzania.
Mkuu hapo kuna mchanganyiko mabasi ya masafa marefu na hizo matatu.Kenya bado wako nyuma katika kuunda mabodi ya mabasi.
 
kenya1.jpg
kenya.jpg
Kwa kifupi kenya ni mabingwa wakuhunda body za mabus kwa mihongo kadhaa na wanaunda kuendana na uwezo wako na bus body frabicators wengi wa tz wameiga kenya kwani kabla ya hapo atukuwai kuwa na bus body fabricators sasa hivi ndio wamekuja Dar Coach CQ Engineering wakati kenya kuna KVM,Master,Choda,Benrose wakongwe wa hiyo kazi.
 
Attachments

  • KENYA 3.jpg
    KENYA 3.jpg
    14 KB · Views: 171
View attachment 419489 View attachment 419490 Kwa kifupi kenya ni mabingwa wakuhunda body za mabus kwa mihongo kadhaa na wanaunda kuendana na uwezo wako na bus body frabicators wengi wa tz wameiga kenya kwani kabla ya hapo atukuwai kuwa na bus body fabricators sasa hivi ndio wamekuja Dar Coach CQ Engineering wakati kenya kuna KVM,Master,Choda,Benrose wakongwe wa hiyo kazi.
Bado ukiangalia hizi basi bado zina test za yale matatu haijalishi lini wameanza.Hata hapa TZ walkuwepo kina Quality Group na gerji kadhaa za Temeke zilizokuwa zinaunda hiyo design ya bodi za Kenya.Kwa standard bodi zaTZ ziko juu na zinashindana katika viwango vya kimataifa
 
Hizo ni sample tu nimeweka Kijana na ukienda Asia utakuta wanamundo wao wakutengeneza body za mabus nipe body ya bus iliyotengenezwa Tanzania ikatumika kwenye bus kutoka dar mpaka Kigali au Congo au Kampala.
 
Huijui Kenya kwenye hiyo biashara,kwani wao kitambo wana~assemble sisi ndio tunajikongoja.
 
Dar coach body anaagiza china , haundi mwenyewe., pia anaiga hana dizaini ya kwake, mfano kwa sasa anaiga muundo wa zonghotong climber na higher, ila kenya wana deaign zao. Ingia page ya fb ya master au choda fabricators uone mambo
 
Hizo ni sample tu nimeweka Kijana na ukienda Asia utakuta wanamundo wao wakutengeneza body za mabus nipe body ya bus iliyotengenezwa Tanzania ikatumika kwenye bus kutoka dar mpaka Kigali au Congo au Kampala.
Hatuzungumzii Asia hapa!! We talk about East Africa and we talk about the present!! Kenya mpo nyuma kwa miundo ile!! USIBISHE
 
Dar coach body anaagiza china , haundi mwenyewe., pia anaiga hana dizaini ya kwake, mfano kwa sasa anaiga muundo wa zonghotong climber na higher, ila kenya wana deaign zao. Ingia page ya fb ya master au choda fabricators uone mambo
Chizi kweli ww eti wanaagiza China!! Uchina wanatengeneza upuuzi km ule
 
Hatuzungumzii Asia hapa!! We talk about East Africa and we talk about the present!! Kenya mpo nyuma kwa miundo ile!! USIBISHE
Read between line,namanisha kila nchi ukienda ina muundo wa kuunda body za mabus asia India au China wanaunda body za mabus lakini body zinashape tofauti hivyo uwo muundo unaouona Kenya ndio wao na kwa East Africa ukubali ukatae wao ndio mabingwa wa body za mabus na wanamabus yenye body nzuri sana ulizoweka hapo juu nizakiwango cha chini.
 
Weka za kiwango cha juu kutoka kenya tuone [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom