Waunda bodi za Mabasi ya TZ na Kenya

Waunda bodi za Mabasi ya TZ na Kenya

hatujaongele umaskini hapa wala habari za wanaoenda ng'ong au kitengela hapa tunaongelea maendeleo ya uboreshwaji wa muonekano kulingana na matakwa ya seria za pande zote unakuta hayo mabasi yenu hayawez kuja huku kwajili ya kuzidi uzito lakini yanayotengenzwa huku yanaweza kuja huko......bosss ata ukimremba vp bibi kizee awezi kua binti kigoli
Hivi tuseme Modern Coast huenda Ngong?
 
Muundo wa body za mabasi yanayotengenezwa TZ na Kenya ni tofauti.
Bodi za TZ (SCANIA DAR COACHES)
View attachment 419333
Mbele

View attachment 419334
Dar Express na bodi zilizoundwa TZ na DAR coach


View attachment 419336
Mabasi yenye chesis ya SCANIA na Bodi zilizoundwa TZ View attachment 419337


View attachment 419338
View attachment 419339

Ndani View attachment 419340
Kwenye Dashboard


Bodi za Kenya

View attachment 419342
View attachment 419344

View attachment 419345

View attachment 419346

View attachment 419347

Kwa hapa Wakenya watasubiri sana
waogezeee na hiii sio kwenye mabasi tuu hadii 4X4... tunazidi kusonga tutaenda hadi kwenye maloriii sas
 

Attachments

  • kenya.jpg
    kenya.jpg
    6.4 KB · Views: 142
  • kenya2.jpg
    kenya2.jpg
    70.2 KB · Views: 141
  • tan3.jpg
    tan3.jpg
    16.9 KB · Views: 161
  • tanzania1.jpg
    tanzania1.jpg
    40.1 KB · Views: 178
  • tanzania2.jpg
    tanzania2.jpg
    32.8 KB · Views: 160
Hivi tuseme Modern Coast huenda Ngong?
last time nilikosa dar expres, lux na tameed nikapanda ilo mordern was so disappointing tulilazimika kusima kila mizanii maana limezidisha uzani.... halikimbii kutokana na uzito wake nikafika dar saa 7 zza usiku
 
Nilikuwa huko July 2016, from Nairobi to Arthi River
So ukapanda gari moja then ikaja kua magari yote Kenya yako hivyo? Matatu culture and etiquette in Kenya differs from city to city.

But that's not the point. Fahamu kuna changes nyingi zimeletwa na NTSA. A lot has changed since that time kwanza ukizingatia regulations walizotoa mwezi uliopita.
 
SCANIA DAR COACH - Made in TZ vs SCANIA HIGER A80 made in China

View attachment 420214
View attachment 420228

scania dar coach Tz

View attachment 420215

View attachment 420227
scania higer a 80-China

Design of bus body, it's integration with chassis & systems
(e.g., AC, Heating, Electronics, Voice & Data Communication Ventilation, Lighting, Trim & Seating etc.
As per customer needs.)
qualit4.gif
Weight optimization, Standardization & Modular Design
Conformance to Regulatory Requirements
qualit4.gif
Compatible with Design, Customer & Market Requirements

Value for money

qualit4.gif
Styling
qualit4.gif
Innovative and attractive styling from inside to outside

Passenger & Driver Comfort
qualit4.gif
Ergonomics
qualit4.gif
Low noise & Vibration, Seating, Soothing Ambiance, AC/Heating, Ventilation, Lighting, Visibility etc.

Product Quality
qualit4.gif
Reliable & Durable

Kuna haja sasa ya hawa jamaa kuanza kutafutia soko gari za nje ya nchi maana quality zake hazina tofauti na bodi za nje
Hivi basi ushafanya utafiti ukapata hakuna sector kama hii Kenya au hata Uganda?
 
Braza Hawa wakenya bado wapo mbali sana si rahisi kuwakamata wanajua wanachokifanya pamoja na inchi yetu ya viwanda lkn kwa hili la body za magari nachelea kusema inchi yangu bado sanaaa

c2fb6beebcae2826a089c598f8cad735.jpg
b43a763b42f291b51140725873cdb06c.jpg
7c0035ba11091d5c9dc3043e2bd4d205.jpg
081708a4efc0fa502891f918c08d06cd.jpg
729cf3819daa6651fbd056e227243964.jpg
4ee2ad63ac9a71f94bb0587256b7bf7c.jpg
ea422ebd843f45b49df22726b61ee191.jpg


Hiyo ni CHODA FABRICATORS MKUU
 
waogezeee na hiii sio kwenye mabasi tuu hadii 4X4... tunazidi kusonga tutaenda hadi kwenye maloriii sas
Lorry zimekua toka kitambo huku. Zaidi, negative publicity does not help. I'm sure wanaofahamu watakueleza that's not the best Kenyan tourism can offer. Plates za hizi tour vans mbona za kitambo sana!![emoji115] [emoji115]
KAZ na KBP zishapitwa na muda! Tunaelekea KCZ itokee KDA. Then, those vans aside, Umeona self drive za tours and travels?
 
Umeuliza maana ya customisation.
Umepata jibu. Hujapendezwa kujua all that and more is done in Africa au?


Then, be free. Tuambie. Basi zipi zimetoka SA??
Nawe pia scroll back utaona swali hilo
Umeamua kutukalia kooni na kiswahili chako cha Tz ukiwa Kenya. Nini unataka nikwambie bus number, chasses number, au make ya bus. Si uko Kenya kawaulize luxury couches company za Kenya body kwenye some of their buses zina wekwa wapi? Waulize costal bus or morden coast. And them najuwa you need visa kuenda South African but you can google and see south African luxury couches
 
So ukapanda gari moja then ikaja kua magari yote Kenya yako hivyo? Matatu culture and etiquette in Kenya differs from city to city.

But that's not the point. Fahamu kuna changes nyingi zimeletwa na NTSA. A lot has changed since that time kwanza ukizingatia regulations walizotoa mwezi uliopita.
Baba, mimi sio mgemi Kenya, hii sio Mara ya kwanza kukanyaga Kenya, najuwa nachokiongea.
 
Braza Hawa wakenya bado wapo mbali sana si rahisi kuwakamata wanajua wanachokifanya pamoja na inchi yetu ya viwanda lkn kwa hili la body za magari nachelea kusema inchi yangu bado sanaaa

c2fb6beebcae2826a089c598f8cad735.jpg
b43a763b42f291b51140725873cdb06c.jpg
7c0035ba11091d5c9dc3043e2bd4d205.jpg
081708a4efc0fa502891f918c08d06cd.jpg
729cf3819daa6651fbd056e227243964.jpg
4ee2ad63ac9a71f94bb0587256b7bf7c.jpg
ea422ebd843f45b49df22726b61ee191.jpg


Hiyo ni CHODA FABRICATORS MKUU
Wanatupita kwa hizo picha za kubandika au? Nchi zingine hizo gari hazitarusiwa barabarani too vulgar.
 
Umeamua kutukalia kooni na kiswahili chako cha Tz ukiwa Kenya. Nini unataka nikwambie bus number, chasses number, au make ya bus. Si uko Kenya kawaulize luxury couches company za Kenya body kwenye some of their buses zina wekwa wapi? Waulize costal bus or morden coast. And them najuwa you need visa kuenda South African but you can google and see south African luxury couches
Hakuna pressure. Umesema zatolewa huko SA kumaanisha una taarifa kamili.
Mara kwa Mara watu husema mambo bila kuzingatia kuna yule ambaye hajui lolote na ataamini anything that comes his or her way. Tusimislead wengine bure bilashi!

Ulifanya research? Tuambie
 
mimi sikatai kaka nilishawai kutembelea sehemu moja wanaita induries area huko nilikuta mafundi wengi watoto wa tanga tena inasemekana wapo kwenye iyo industries ya kutengeneza hizo body za ma3 na mabasi sasa nikagundua kua wanachukuliwa huku tanzania wanakwenda kutumika huko........ ujuzi uko huku...... hilo basi sasa linaonekana kuzidi uzito kwa nakshii huku kwetu hatitadumu kwa milima na ubali kunamahail basi linalazimika kutembe 1500km ndio maana hayo mabasi hayawezi kumudu hali ya masafa haswa TZ.....
c2fb6beebcae2826a089c598f8cad735.jpg
b43a763b42f291b51140725873cdb06c.jpg
7c0035ba11091d5c9dc3043e2bd4d205.jpg
081708a4efc0fa502891f918c08d06cd.jpg
729cf3819daa6651fbd056e227243964.jpg
4ee2ad63ac9a71f94bb0587256b7bf7c.jpg
ea422ebd843f45b49df22726b61ee191.jpg


Hiyo ni CHODA FABRICATORS MKUU[/QUOTE]
 
fabrication na customisation toka masters nairobee
1bd846c724ab6a5f950844bb393ffa66.jpg
 
choda wanafanya hadi customisation ya ndege na helicopta hapo wilsons nairobi
0717f10d2c0c16d03c94e5d5a83d0825.jpg
 
choda wanafanya hadi customisation ya ndege na helicopta hapo wilsons nairobi
0717f10d2c0c16d03c94e5d5a83d0825.jpg



sticker branding kila mtu anafanya ndugu hata mafundi rangi siku izi wanafanya......... kwaio nadhani igelikua zaidi kama na hiyo helicopter mgelitengeneza maana kama kungelikua ni zama zile bob ugelinadi limetengenezewa kenya kaaah
 
siziju labda east africa mnazo nie tu...hahahha iawezekana nazozijua ni kutengenza mabasi yenye kukizi psv reg international na sio ke natani NTSA imekaa ki kei kaidi ndio maana mabasi kwenye hiyo picha havuki boda..labda waweke chases mbili gari limewekwa korombezooo kama lakwenda .....
Basi tulia. Unafahamu NTSA? Sheria za PSV je?
 
Back
Top Bottom