Waumini wa Kakobe kutimuliwa alfajiri ya leo!!!

How low? Nguzo zimeshasimamishwa kote, bado mbili karibu na kwa kakobe, mchoo haujabadilishwa, sasa wana-expect tanesco watang'oa nguzo na kubadilisha line route?
Sina uhakika, lakini inaonekana huu mradi haukufanyiwa Environmental Impact Assessment. BICO ndo wanafanya sasa hivi.
 
Huu Umeme unatofauti na Ule ulipita kule Goba, au ule unatoka Kihansi, kidatu au Huu una Matatizo gani hasa

What would you expect out of EIA, Je EIA ilifanyika katika Hiyo Miradi mingine niliyoitaja hapo juu? Na kama ilifanyika what was the results?
 
tatizo imani ni kitu cha ajabu sana,inafuta uwezo wa ku-reason out vitu simple sana...its ok,mwache Kakobe afaidi sadaka zake..

lakini mkuu hiyo ni hatari sana, usione watu wanajivisha mabomu ni mambo kama hayo, sasa kama jamaa alikuwa na uwezo wa kumshindisha mtu juani kuanzia asubuhi mpaka jioni itakuwa shida kweli kwa kumwambia ajivishe mabomu?
 
'The great thinkers' of the Nation, naona kama quality ya michango humu imekua ya kishabiki zaidi kuliko maturity na intelligence. Sasa wanaosema ngoja tumuone kakobe wanamaana gani? kwao wanaona swala hilo ni la kakobe? wanashindwa kulihusisha na Tabata ambako familia 100 zilivunjiwa nyumba kwa rushwa ya 100m yaani thamani ya household ya mtanzania ikawa reduced to 1m ili kupisha ujenzi wa kituo cha mafuta cha muasia. Swala la wananchi wa chasimba, kipawa etc lini tutaanza kuwa serious? Badra Masoud ameulizwa na kushindwa kujibu analeta ubabe tu, substantiate kwamba huu umeme hauna madhara, eti jibu la kitoto wataalamu wamesema hauna madhara, kakobe kauliza maswala ya msingi kwamba kwa nini ulihamishwa katika njia yake ya mwanzo? kwa nini maeneo ya misikiti na makanisa ya katoliki na lutheran kukiwa na operations kama hizo njia zinapita pembeni? Nakubaliana na mchango wa superman ni wa ki akili sio hawa wanaoleta ushabiki wa kakobe na serikali nani zaidi, halafu wanajiita great thinkers, watoke kwenye mtandao hatutaki cheap talks huku. Je mnafahamu kwamba mwekezaji aliyenunua eneo la ununio kunakopita umeme wa zanzibar, anahamisha mapito kutoka juu na kuyachimbia chini? kwa kuwa nyumba zile zitapangishwa kwa watu wa nje wanaothamni maisha na wanajua hilo ni kosa. Hatuhitaji kuwa na shahada za umeme za Phd kujua ni simple common sense. Angalau mwenzetu kakobe na elimu yake ndogo amesimama kidete kutetea anchoamini, sisi tunaojiita wasomi acha tuburuzwe lakini acha kushabikia unyama wa serikali yetu. kama huwezi kusaidia mabadiliko then keep it to yourself unatukwaza
 
Nilifikiri ungekuja kitofauti ili utofautiane na hao Mashabiki kumbe na wewe Mure Mure, Unaandika Kile Ulichokisikia kwa Badra au kakobe
 
Kabla Sijaenda Kulala nawaachia Swali Greta Thinkers, Wahandisi na Wanasayansi

How can a 50 Hz signal interfere with a signal that is above 180 MHz?
 
'The great thinkers' of the Nation, naona kama quality ya michango humu imekua ya kishabiki zaidi kuliko maturity na intelligence. Sasa wanaosema ngoja tumuone kakobe wanamaana gani? kwao wanaona swala hilo ni la kakobe? wanashindwa kulihusisha na Tabata ambako familia 100 zilivunjiwa nyumba kwa rushwa ya 100m yaani thamani ya household ya mtanzania ikawa reduced to 1m ili kupisha ujenzi wa kituo cha mafuta cha muasia. Swala la wananchi wa chasimba, kipawa etc lini tutaanza kuwa serious? Badra Masoud ameulizwa na kushindwa kujibu analeta ubabe tu, substantiate kwamba huu umeme hauna madhara, eti jibu la kitoto wataalamu wamesema hauna madhara, kakobe kauliza maswala ya msingi kwamba kwa nini ulihamishwa katika njia yake ya mwanzo? kwa nini maeneo ya misikiti na makanisa ya katoliki na lutheran kukiwa na operations kama hizo njia zinapita pembeni? Nakubaliana na mchango wa superman ni wa ki akili sio hawa wanaoleta ushabiki wa kakobe na serikali nani zaidi, halafu wanajiita great thinkers, watoke kwenye mtandao hatutaki cheap talks huku. Je mnafahamu kwamba mwekezaji aliyenunua eneo la ununio kunakopita umeme wa zanzibar, anahamisha mapito kutoka juu na kuyachimbia chini? kwa kuwa nyumba zile zitapangishwa kwa watu wa nje wanaothamni maisha na wanajua hilo ni kosa. Hatuhitaji kuwa na shahada za umeme za Phd kujua ni simple common sense. Angalau mwenzetu kakobe na elimu yake ndogo amesimama kidete kutetea anchoamini, sisi tunaojiita wasomi acha tuburuzwe lakini acha kushabikia unyama wa serikali yetu. kama huwezi kusaidia mabadiliko then keep it to yourself unatukwaza

Supported;

Government should and they must involve public in decision making of anything that in one way or another may impact that particular society. FAILURE TO DO SO ndio tunaona, issue za migodini zilivyo

Mtu anashabikia serikali ifanye hivi kwa kakobe, kesho the very same person atailalamikia serikali kuleta makampuni ya migodi kuanza kuchimba pasi jamii kuwa involved.

Shame on you!
 
Supported;

Government should and they must involve public in decision making of anything that in one way or another may impact that particular society. FAILURE TO DO SO ndio tunaona, issue za migodini zilivyo

Mtu anashabikia serikali ifanye hivi kwa kakobe, kesho the very same person atailalamikia serikali kuleta makampuni ya migodi kuanza kuchimba pasi jamii kuwa involved.

Shame on you!

How can a 50 Hz signal interfere with a signal that is above 180 MHz?
 
Mkuu mimi najua zege na nondo na migodi tu, hayo siyajui mwanakwetu,, naomba shule!!

Mkuu Umeme wa Tanesco ambao ni Alternating Current kwa Standard ya Bongo una frequency 50 Hz. Na Kwa Mujibu wa ITU-R TV zinaoperate katika frequency za VHF ( very high frequency) kwa TV nyingi zinaanzia frequency ambayo ni above 180MHz! So I was trying to think aloud ni vipi hizi signal zitaingiliana na Mitambo ya TV ya Kakobe

Zaidi ya Hapo sasa tunaelekea katika mfumo wa Utangazaji wa digital ambapo Kakobe hatakuwa na na Uwezo wa Kurusha Matangazo! Sasa sielewi hiyi interference itatokea wapi kwa sababu nina uhakika Kakobe hatajenga Transmiter pale lufungila
 
Ndugu umewahi kwenda pale mikocheni kwa mama hapo utakuta Maprofesa,Makanali,Walanguzi,wafanyabiashara,matapeli na elimu zao wamekuwa kama watumwa hawafikiri wala kuwaza jinsi mama alivyowalisha kasumba yaani lolote asemalo mama haliulizwi wala kudadisi,akina vibwetere tunao wengi hapa kwetu eti huo ndio uhuru wa kuabudu,pia kuna kasi ya makanisa yanayoendeshwa na wanaijeria ,jamani kaeni chonjo na haya makanisa ya kitapeli
 
Mkuu Umeme wa Tanesco ambao ni Alternating Current kwa Standard ya Bongo una frequency 50 Hz. Na Kwa Mujibu wa ITU-R TV zinaoperate katika frequency za VHF ( very high frequency) kwa TV nyingi zinaanzia frequency ambayo ni above 180MHz! So I was trying to think aloud ni vipi hizi signal zitaingiliana na Mitambo ya TV ya Kakobe

Zaidi ya Hapo sasa tunaelekea katika mfumo wa Utangazaji wa digital ambapo Kakobe hatakuwa na na Uwezo wa Kurusha Matangazo! Sasa sielewi hiyi interference itatokea wapi kwa sababu nina uhakika Kakobe hatajenga Transmiter pale lufungila

Umezungumza technical point of view na sio sociological and democratic point of view.

Technicaly Kakobe na watu wake wanaweza kuwa wako wrong kabisa, purpose ya risk analysis ni ku-communicate na public, kuielezea kuwa kuna mradi utakuja na uko hivi na hivi. At the end of the meetings representative wa public anatakiwa asign kuwa public ya mahali hapo imekubaliana na project.

This is democtratic point of view wanasema public imekuwa part ya decison making. This is what they were supposed to do katika EIA. Na offcourse modern EIA zote za migodini sasa hivi zinafanya hivi. Tanesco au huyo assessor hakukutana na akina kakobe au jamii ya mahali hapo kuwaelezea kuhusu mradi na kama kungekuwa na matatizo yoyote yake wange-resolve kabla ya kuanza mradi.

Ndio maana ya risk assessment, sasa hivi Tanesco wanakula hasara kitu ambacho wangekimaliza siku nyingi.

Hii ndio standard ya ufanywaji wa miradi kama hii. Asbestos ilianzishwa nchii hii na leo hii hata kama kiwanda kilifungwa watu tayari wameshapata makansa. So ISSUE IS NOT THAT TANESCO ARE CORRECT TECHNICALY NO, issue ni kuwa jamii inapaswa kuwa involved, katika decison making,

At the same time donors/sponsor/project managers anatakiwa afanye kazi kwa muda unaotakiwa na kwa bajeti inayotakiwa. watu wa MBA wanashinda kuyasoma haya mambo lakini hawayaweki katika practise! ndiyo standard ya sasa duniani mkuu, wataalamu wa sociology nao wanaweza kusaidia.

Nani aliyepata hasara sasa hivi, project manager au Kakobe, ukilingalia technicaly unaona professionals waliacha kwa makusudi ili swala.

The issue is the same even in mines mkuu.

Migodi yoote imeanzishwa na una0ona kabisa ina faida, operation zikianza unaona kuna matatizo, kama hakukuwa na written document ya wananchi wa hao na makampuni, huwezi kuwashtaki na ndio tunafanya maandamano huko Mara!!

Kama pesa imetoka Japan, hawatakubali mradi uendelee mpaka issue iwe settled. This is how world operates now.

Technically expert may be right but public HAS- THE- RIGHT -TO -KNOW!!

Tafuta reference nyingi tu mkuu uta-thibitisha hili.
 
Waberoya

Sawa Kabisa

Mkuu Kakobe Ameshawaambia Waumini wake kwamba Mradi una Madhara, watu hawatazaa, Utaathiri mitambo ya TV nakadhalika sasa sijui unataka nini kifanyike

This is democtratic point of view wanasema public imekuwa part ya decison making. This is what they were supposed to do katika EIA. Na offcourse modern EIA zote za migodini sasa hivi zinafanya hivi. Tanesco au huyo assessor hakukutana na akina kakobe au jamii ya mahali hapo kuwaelezea kuhusu mradi na kama kungekuwa na matatizo yoyote yake wange-resolve kabla ya kuanza mradi.
Wrong Approach both Tanesco na Kakobe, hakupaswa kutoa conclusive Statement kama za hapo juu

Ndio maana ya risk assessment, sasa hivi Tanesco wanakula hasara kitu ambacho wangekimaliza siku nyingi.
Ni Kweli kabisa

Hii ndio standard ya ufanywaji wa miradi kama hii. Asbestos ilianzishwa nchii hii na leo hii hata kama kiwanda kilifungwa watu tayari wameshapata makansa. So ISSUE IS NOT THAT TANESCO ARE CORRECT TECHNICALY NO, issue ni kuwa jamii inapaswa kuwa involved, katika decison making,
Miradi kama hii mbona imefanya tu mkuu, Kuanzia Kidatu, Kihansi nk

At the same time donors/sponsor/project managers anatakiwa afanye kazi kwa muda unaotakiwa na kwa bajeti inayotakiwa. watu wa MBA wanashinda kuyasoma haya mambo lakini hawayaweki katika practise! ndiyo standard ya sasa duniani mkuu, wataalamu wa sociology nao wanaweza kusaidia.

Nani aliyepata hasara sasa hivi, project manager au Kakobe, ukilingalia technicaly unaona professionals waliacha kwa makusudi ili swala.

The issue is the same even in mines mkuu.

Migodi yoote imeanzishwa na una0ona kabisa ina faida, operation zikianza unaona kuna matatizo, kama hakukuwa na written document ya wananchi wa hao na makampuni, huwezi kuwashtaki na ndio tunafanya maandamano huko Mara!!

Kama pesa imetoka Japan, hawatakubali mradi uendelee mpaka issue iwe settled. This is how world operates now.

Technically expert may be right but public HAS- THE- RIGHT -TO -KNOW!!

Tafuta reference nyingi tu mkuu uta-thibitisha hili.
Mbaya Zaidi Kuna Watu wanalinda Pale huku Majumbani mwao Hizo Nguzo zimeshasimamishwa

Wengi wa Waumini hawaelewi sababu ya Kulinda pale believe me
 
Barabara wa Tanesco pamoja na kikwete ndo dili lao. misikiti haivunjwi, lakini kukiwa na kanisa tu, wanavunja kwasababu wakristo si watu wa jino kwa jino. kuna upendeleo mwingi sana na unyanyasaji kwa wakristo tangu kikwete aingie madarakani, ila kwasababu wakristo huwa hawalipukilipuki ndo maana hawa hatusemi. nashauri selikali iliendee suala hili kwa umakini na uangalifu, kwasababu doa moja likiwekwa ni vigumu sana kulifua kwa miaka mingi. ikumbukwe sisi sote ni watanzania, hata kama wengine ni walokole, ambao naona wengi humu mnawachukia just because ni walokole, tuna haki zetu pia kama watz, na tunayo sauti kubwa tu humu nchini. chatu simba akilala usifikiri amekufa...ukitaka ujue kama bado yu hai, gusa mtoto wake. period.

Ubungoubungo,
Una mifano ya makanisa yaliyobomolewa na misikiti iliyoachwa? Kuna deal gani kati ya Tanesco, Kikwete na Uislamu? Halafu unasema walokole wanachukiwa? wanachukiwa na nani na kwanini? Kwa mtazamo wangu naona unapanda mbegu ya chuki bila ya hoja ya msingi.
 
jamani suluhu itautwe kwani pale kuna watoto wanashinda nje na sijui kama wanakwenda shule pia hawa watuwazima wanaoshinda hapo sifahamu wanafanya kazi muda gani,
 
Kwa mwenendo ulivyo sasa ni dhahiri kuwa Kakobe ana hoja hapa, maana serikali isingekubali mradi huu ukwamishwe na Kakobe- dola inafanya nini?. Nadhani watu wenye akili zao wamegundua kuna mushkeli.

Kwa wanaombeza Kakobe sio kosa lao, ni tatizo la kihistoria la watanzania hatuwezi kupigania haki zatu hata pale zinapopokwa waziwazi kabisa. Ndo maana unaona watu wanamshangaa Kakobe, hawajazoea mtu kubishana na serikali. Ndo maana TZ ni ngumu sana kuitisha maandamano dhidi serikali kupinga jambo ambalo linakuwa linapokonya haki za wananchi.

Kakobe pambana utasaidia kufungua vichwa vya baadhi ya watz ambao HAWAJITAMBUI
 
suluhu itafutwe haraka kwani suala hilo linasikitisha pale unapowakuta watoto wakiwa nje hawajali jua wala mvua, watu wa haki za binadamu wapo au wapo likizo ya kwaresma
 
Kwa mwenendo ulivyo sasa ni dhahiri kuwa Kakobe ana hoja hapa, maana serikali isingekubali mradi huu ukwamishwe na Kakobe- dola inafanya nini?. Nadhani watu wenye akili zao wamegundua kuna mushkeli.
Mbona hamuelewi enyi wana wa Tz? mradi unaendelea kama kawa, kwani kakobe yupo kwenye njia yopte? umeona nguzo zimeshasomama kote, na wataanza kuweka nyaya next week, bado nguzo mbili tu pale, watu wanapiga kazi kama kawa. Jamaa wanatumia kama five hrs kusimamisha nguzo moja, that means, wanaweza kuobgeza crane moja na man power wakaenda pale na kuzisimamisha hizo nguzo ndani ya masaa mawili na hawa jamaa hawataweza kuwafanya chochote. Stuka!
Kwa wanaombeza Kakobe sio kosa lao, ni tatizo la kihistoria la watanzania hatuwezi kupigania haki zatu hata pale zinapopokwa waziwazi kabisa. Ndo maana unaona watu wanamshangaa Kakobe, hawajazoea mtu kubishana na serikali. Ndo maana TZ ni ngumu sana kuitisha maandamano dhidi serikali kupinga jambo ambalo linakuwa linapokonya haki za wananchi.

Kakobe pambana utasaidia kufungua vichwa vya baadhi ya watz ambao HAWAJITAMBUI
Kuna mambo ya msingi na ya kitaifa ya kupambana, sio hili, hapa Kakobe na watu wake wanakuwa selfish tu.
Mbona hakupambana wakati Mungai alivyotaka kuharibu mfumo wa elimu wa taifa hili? (sisemi uliopo ni mzuri sana) hili ni swala la msingi, kakobe alikuwa wapi? alitoa hata statement?
 
Back
Top Bottom