Shelute Mamu
Member
- Mar 17, 2009
- 37
- 1
Huyu Kakobe amezoea sana kuwatumia sana wafuasi wake kama vile watoto wadodo waiojua kitu. Akiwaamlisha hayaa toeni fedha zote kwa ajili ya sadaka wasibakishe hata nauli ya kurudia majumbani mwao wanatoa! toeni dhahabu zenu maana ni mapepo wanatoa! lakini la sasa Mungu na alione maana watu wanateseka pasipo kujijua! Ee Mungu wa Israel okoa watoto wako aliowaumba kwa mfano wako.