Jumanho Member Joined Sep 14, 2010 Posts 37 Reaction score 5 Feb 28, 2011 #1 Niaje wana jamvi hili, muungwana mwenzenu najitambulisha jamvini kama mnavyoelewa waungwana jamvini huruhusiwi kuingia na viatu na wala kuingia bila hodi na salamu. Naomba kuwakilisha wakuu.
Niaje wana jamvi hili, muungwana mwenzenu najitambulisha jamvini kama mnavyoelewa waungwana jamvini huruhusiwi kuingia na viatu na wala kuingia bila hodi na salamu. Naomba kuwakilisha wakuu.
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,928 Feb 28, 2011 #2 He Kalumanzila........anyway karibu sana jumanho jamvini!
Babu Lao JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 2,042 Reaction score 180 Feb 28, 2011 #5 Karibu sana jamvini jumanho, vipi 'brasilia' kwema?