ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 17,281
- 22,014
Sauti ya manka ishakufa sasa ana higer ndio zaenda hukoSiku hizi hakuna basi zinazotembea...
Mabasi ya huko kusini yalikuwa yanatembea enzi za kina Kiswele, Kwacha, Matema, Hood...Kiswele huyu ashawahi fika Dar saa saba mchana toka Mbeya/Kyela (enzi hizo stendi zipo town)
Kidogo na juzi juzi hapa walipokuja kina Happy Nations, Nganga na wale Majinjah, sijui hali zao siku hizi zipoje...mara ya mwisho Happy Nation kuipanda ile ya Tunduma-Dar ilifika Dar saa tisa kasoro hivi alasiri