WaTZ Mbona hampendi wakenya?

Status
Not open for further replies.
Mjifunze kkwanza kupendana nyie wenyewe huko kenya kwenu.FYI ....Tanzania ya sasa sio ya jana.subiri uone maajabu kutoka tanzania...
 
wewe ndugu ngoja niseme,Zimbabwean na Kenyan ndio watu pekee wenye best skill sub saharan,hiyo ujue ndio maana mnalalamika lakini hiyo ndiyo kweli
Hivi nani analalama hapa? Are listening to yourself?
Halafu best skill ya nn? Longolongo?

'best skill sub saharan'....hizi tuzo zimeanza kutolewa lini wajameni?
 
learn to give people chance to socialize
 
nyie watz inaonekana hamuwezi kufanya socialize na watu kutoka nchi zingine,mna aibu sana,halafu mnapenda sana kujiona nyie mko na roho nzuri,lakini umaskini wenu wa akili utawaletea umaskini sana
Wee kenyata chizi nini! kati yetu na nyie nani anaweza kusocialize? Halfu tungekuwa na aibu tungewezaje kukataa protocol uchwara ya ulinzi waziwazi mbele yenu? Unasema tunajifanya tuna roho nzuri; Sie tuna roho nzuri kweli sio kama nyie na mademu zenu mna roho mbaya na sura mbaya vilevile.
 
Mjifunze kkwanza kupendana nyie wenyewe huko kenya kwenu.FYI ....Tanzania ya sasa sio ya jana.subiri uone maajabu kutoka tanzania...
Anatutishia chingredha, chenyewe hata sijakiona hapo ....lol
 
mimi nilishangaa sana demu kunikimbia kwa sababu niliongea neno moja kwa english,mbona mnakuwa wakali,kubalini nyie uwezo wenu ni kadogo sana kulinganisha na wetu

Hahah, kumbe unapima uwezo wa mtu kwa kutumia lugha? Ewe mtumwa wa kifikra, ZINDUKA. Kujua kiingereza haimaanishi una akili.

Jamani huyu mwacheni tu hoja yake nyepesi sana na anaonesha kabisa ana upeo mdogo. Nenda kalinde nchi huko alshabab wanakuja!
 
nyie mnatakiwa kujua america was built by immigrants,stop undermine kenyan,tutawasaidia sana nyie
 
Mie siwapendi kabisaaa!!! kama wewe unawapenda basi huwajui vizuri.
 
nyie mnatakiwa kujua america was built by immigrants,stop undermine kenyan,tutawasaidia sana nyie
Kwanini nyie msikaribishe wahamiaji ili wawasaidie kuijenga kenya kama Marekani?
 
rafiki yangu mtz kanionyesha hii site,lakini sijapenda member wake wanavyojibu hoja hapa,sioni kama naweza jifunza kitu hapa zaidi ya chuki,shame on u
 
nyie mnatakiwa kujua america was built by immigrants,stop undermine kenyan,tutawasaidia sana nyie
Wewe nyang'au mkubwa usiye na haya nenda kawasaidie ndugu zako wa Mathare na Kibera kwanza!
 
Mbongo agent provocateur wewe. Umetumwa kuvuruga uhusiano na kutukanisha majirani. Madem wa bongo mbona hawana noma na wageni. Kiswahili kinatia shaka kama kweli mkenya,
 
rafiki yangu mtz kanionyesha hii site,lakini sijapenda member wake wanavyojibu hoja hapa,sioni kama naweza jifunza kitu hapa zaidi ya chuki,shame on u
na bado, wewe endelea tu na majibu yanayokufaa utayapata!
 
mimi nilishangaa sana demu kunikimbia kwa sababu niliongea neno moja kwa english,mbona mnakuwa wakali,kubalini nyie uwezo wenu ni kadogo sana kulinganisha na wetu
una hakika hakuweza kukujibu ama alionaa mapungufu yako mengine.Je ukienda uchina pia unatongoza kwa kiswahili?
 
Walijipendekeza sana kwa Obama wakafikiri ataukumbatia ukabila wao!
 
rafiki yangu mtz kanionyesha hii site,lakini sijapenda member wake wanavyojibu hoja hapa,sioni kama naweza jifunza kitu hapa zaidi ya chuki,shame on u
Na yy akiona vi post vyako uchwara na urafiki utakufa...

Unaenda kwa watu na kisha unaketa nyodo?
Mkenya wahedi wewe...ulidhani utashobokewa ukisema ww wa kwa baba Moi.....

Kick rocks boy
 
najua hamtupendi but we are here to stay,mbona serikali yenu inatupenda,twafanya kazi twalipa tax,serikali yenu yawajua nyie wavivu sana

hata waarabu hawafanyi kazi badala yake wanaajiri wahindi kuwadekia nyumba,nyie si mnajidai chapakazi basi karibuni bongo,huku tunatumia akili kuishi sio muscles.
 
rafiki yangu mtz kanionyesha hii site,lakini sijapenda member wake wanavyojibu hoja hapa,sioni kama naweza jifunza kitu hapa zaidi ya chuki,shame on u
Kama waTz hawawapendi huyo alipata wapi muda wa kukuonesha site hii?
 
rafiki yangu mtz kanionyesha hii site,lakini sijapenda member wake wanavyojibu hoja hapa,sioni kama naweza jifunza kitu hapa zaidi ya chuki,shame on u

We unaleta hoja kimang'aa unatarajia nini?

Hoja laini kama ndinyo unatarajia nini.
Nenda kapakatwe nai.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…