Sema SGR wanawanyima wakaazi pande mbili za reli haki ya kuwasiliana kwa kuwatenganishia na uzio bila kuwawekea understanding tunnel yaani makaravati ya kuvukia chini ya reli. Kama walivyowawekea wanyama wa porini na mifugo makaravati ya kuvukia chini ya reli. KWA sababu wao wanakaa masaki na osterbay hayawahusu. Kuna shule, masoko, stand za daladala, nyumba za ibada na shughuli mbalimbali za kijamii, hivi vinalazimisha wakaazi wa pande zote mbili kuingiliana SAsa kuwawekea uzio wasiwasiliane ni kinyume na haki za binadamu.