Waturuki wanaojenga SGR

Waturuki wanaojenga SGR

Pole sana
naomba nichangie hiyo sehemu ya mwisho;
Naomba kujua kama aliyemsaidia Dereva alikuwa na leseni HALALI ya kuendesha gari husika hicho kigezo ni muhimu sana kwa ajili ya Bima/Insurance.
Isijekuwa anaendesha/sogeza lori la Milioni 700 huku hana leseni...
hata kama ana leseni, najua kuna utaratibu wa kiofisi wa kufuata inapotokea kadhia kama hiyo. hilo ni kosa moja kwa moja, ispokuwa adhabu iliyotolewa ndiyo ina mushkheli
 
Hawaibi wanachukua kilicho halali kwao. Umejiuliza hao waliopewa miradi wamepewa kifisadi na mafisadi kupitia kodi zetu. Sasa wakichukua walau kidogo ni kama wameshare. Mnalaamu sana vidagaa.
duuuh, inaonekana unajua mengi, kumbe YAPI MERKEZI alipewa kazi kifisadi??!!??, hebu nikumbushe makampuni yaliyoshindana katika kupata tenda hii
 
Hiyo ni kweli kabisa. Yaani creativity, innovation yote ipo kwenye namna ya kuiba.
Kama watu wangetumia akili vizuri with ethics miaka 60 ya uhuru tungekuwa mbali sana. Waangalie Korea Kusini, Vietnam wamejitransform from dependent to donor country
Hatuwezi jiongoza
 
Yan kwao unyanyasike na kwako wakunyanyase hatar sana
 
Sio wakatili ni nyie ndio hamjui haki zenu na uoga wa maisha ilitakiwa mnatoa mfano kwa mmoja tu wangeambizana chap kwamba huku tulipo ni pamoto na wangewaheshimu..

Unakuwaje mnyonge nchi uliyozaliwa je ukienda huko nje si ndo utashikwa na tarcccooo kabisa..
Mmoja anatakiwa afuliwe haswa iwe mfano
 
Pamoja na wizi haifai kumuua mtu, zipo njia nyingi za kudili na wezi KWA kutumia akili tu
 
Ahhh ujanja ujanja tu wabongo.kwa hiyo kama unaumwa unampa mwenzio gari la kampun.Hilo ni kosa.acheni ujinga.mmekaa kiuwiz wiuz tu.Na unataka huruma kwetu.pumbavu
 
Kiukweli baada ya uvumilivu wa Muda mrefu nimeona bora kusema tu kweli kuhusu hawa waturuki wanaojenga SGR, sitaki kubase sana kwenye efficiency yao ya kazi ila nataka niweke wazi kwenye swala la socialization na sisi watanzania.

Wamekua ni watu wakatili na wakorofi sana inapokuja kwenye swala la haki ya mfanyakazi wanawapiga ndugu zetu site bila sababu na endapo ukajaribu kujibu mashambulizi wanakufukuza kazi.

Hivi majuzi nimeshuhudia mtu amefukuzwa kisa tu amekutwa amemsaidia dereva gari baada ya dereva kuumwa ghafla wakiwa site .
Waziri mhusika anasemaje?
 
Ahhh ujanja ujanja tu wabongo.kwa hiyo kama unaumwa unampa mwenzio gari la kampun.Hilo ni kosa.acheni ujinga.mmekaa kiuwiz wiuz tu.Na unataka huruma kwetu.pumbavu
sasa hapa unakosea, inawezekana bado unategemea ugali wa mama ukiwa mkubwa utaelewa tunamaanisha nini kiongos
 
Pole sana
naomba nichangie hiyo sehemu ya mwisho;
Naomba kujua kama aliyemsaidia Dereva alikuwa na leseni HALALI ya kuendesha gari husika kwani hicho ni kigezo muhimu sana kwa ajili ya Bima/Insurance kama gari litapata shida.
Isijekuwa anaendesha/sogeza lori la Milioni 700 huku hana leseni...
Wote tunafahamu ni kosa kubwa sana kaka dereva alianza kuumwa wakiwa eneo ambalo ni njia ya tembo na mtandao hakuna pia ilikua usiku hawakuweza kufanya mawasiliano na kiongozi wao wa kazi. ila kilichoonekana ni kwamba maboss walikua na ugomvi na walimuondoa ili kuendeleza ugomvi wao.
 
Back
Top Bottom