KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,830
- 12,320
Nimezungumza na mmoja wa watumishi wa mashirika ya kimataifa (one of UN agencies) huko Zanzibar jana usiku na kitu kimoja cha kunishtua kuwa alikuwa anasubiria "roll call'. Nilipomdadisi akasema kuwa siku hiizi baadhi ya mashirika ya kimataifa na hata ya ndani yameanza kuwataka wafanyakazi wao kutembea na radio call na ikifika majira ya jioni basi wanatakiwa ku 'call in' kucheck kuwa wapo salama... na pia mkubwa wao kuita radios za watumishi kuhakikisha wanajibu.. mfanyakazi ambaye katika muda husika hawezi kupatikana kwenye radio call yake husababisha msako...
Kweli Zanzibar imefika hapo...? Kuna wengine wenye experiences kama hii au ni one of the 'isolated cases" hizi?
suala hapo ni wabara hatutakiwi. hebu tuondoke hapo kama haya yote yatatokea. hao mapadre wako hapo zaidi ya miaka 200 na hawauawi. kwanini iwe leo. muungano ufe. ndo cahnzo cha yote haya.Nimezungumza na mmoja wa watumishi wa mashirika ya kimataifa (one of UN agencies) huko Zanzibar jana usiku na kitu kimoja cha kunishtua kuwa alikuwa anasubiria "roll call'. Nilipomdadisi akasema kuwa siku hiizi baadhi ya mashirika ya kimataifa na hata ya ndani yameanza kuwataka wafanyakazi wao kutembea na radio call na ikifika majira ya jioni basi wanatakiwa ku 'call in' kucheck kuwa wapo salama... na pia mkubwa wao kuita radios za watumishi kuhakikisha wanajibu.. mfanyakazi ambaye katika muda husika hawezi kupatikana kwenye radio call yake husababisha msako...
Kweli Zanzibar imefika hapo...? Kuna wengine wenye experiences kama hii au ni one of the 'isolated cases" hizi?
Teh teh teh!kweli mkuu,na mimi nakubaliana na wewe!jamaa naye ni dhaifu kuliko hata mkuu wa kaya!.
Shein nae baada ya kuona hawezi kupigana na uamsho, amechukua suluhisho la kuungana nao.
.
Sasa ndio nini? mimi wafanyakazi wetu wote wana radio calls leo miaka 15 na wote ni lazima waripoti kila baada ya saa moja. Na makao makuu yangu yapo Dar. na wamezagaa sehemu tofauti Tanzania.
Kuna nini cha ajabu kwa hilo? Wacha ufataani.
Mwenyewe nilipanga kuitembelea Tanzania Zanzibar wiki hii na sasa nimeishaghairi ninaelekea Rukinjiri- Uganda.
Kwa uenda wazimu wao wanafanya mambo ya kiujinga bila kuangalia impact yake kwa uchumi wao na mstakabali wa taifa!
Sasa ndio nini? mimi wafanyakazi wetu wote wana radio calls leo miaka 15 na wote ni lazima waripoti kila baada ya saa moja. Na makao makuu yangu yapo Dar. na wamezagaa sehemu tofauti Tanzania.
Kuna nini cha ajabu kwa hilo? Wacha ufataani.
Zomba, nadhani la msingi hapa ni kwa nini hizo radio calls zinatumika. kama hawa wanatumia kwa ajiri ya kumonitor usalama wao lazima kutakuwa na tatizo, kwa inclination yako ilivyo wewe ulipaswa kuhoji ni kwa nini hao wanaona usalama wao uko mashakani? isijekuwa ni moja kati ya wanaolalamikiwa na wazinzibar kuharibu ustaarabu wao, lakini kusema kwamba hata wewe unaradio call inakuwa kama uko tayari kubibisha kwa chochote wakati wowote.
Unalivyoiita hiyo makafiri mtu anaweza kufikiri we hautumii hewa hii kama wao, hauli chakula kama chao, hauchoki kama wao na wala haufi n.k
Ni lini na wapi dunia hii ambapo wafanyakazi wa kutoka nje ya nchi fulani wakaishi bila ku monitor usalama wao?
Kwa tafsiri ya neno kafiri hata mkristo unatakiwa kumuita mwislamu kafiri, ni haki yako kwa matumizi ya lugha.
Kwa kuwa mwislamu aamini Mungu unayemwanini basi kwako huyo ni kafiri au mpagani.
Unamaana hawa wachina wooooote hawa wanamonitor usalama wao? na wanatumia radio calls? na ni katika pattern anayosema mzee mwanakijiji hapo? kwamba mtu asipopatikana kwenye radio call unafanyika msako kumtafuta? unauthibitisho juu hili?
Ofcourse hata mwanakijiji anapaswa kutueleza hao wanaotembea na radio calls na kufuatiliana namna hiyo? wametoa taarifa kwenye vyombo vya usalama juu tishio linalowaweka roho juu??
si wanapata asilimia 4.5 ya mapato toka tanganyika? Zinawatosha.
Kweli naona tuna tafsiri tofauti kuhusu chokochoko, kama hadi hapa mwenzetu haujaona chokochoko. Siku ukiona kweli ni chokochoko nahisi itakuwa ni full-blown war! Hureeeeee Zanzibar, yangu macho na masikio!Pakazieni dunia nzima ya kwamba z'br kuna magaidi,lakini mkae mkijua target ya wazenji ipo palepale,jamhuri ya
Watu wa z'br kwanza chokochoko hazina nafasi.
Kwanini hukuanza na kwa kumuuliza mleta mada kama ana uthibitisho kwa aliyosema? wakati anajulikana kwa ufataani wake humu JF.
Au mkuki kwa nguruwe tu, kwa binaadam mchungu?
Isitoshe, labda huwajuwi Wachina. Roll calls kwao ni asubuhi na jioni hata huko kwao seuse wakiwa nje?wapo sawa na Wajapani, waulize wanaofanya nao kazi watakufahamisha.
Zomba, acha unazi wa namna hii ndugu yangu.
wachina wanauliwa na majambazi kila siku hapa dar na hatuoni pilikapilika zozote za kiusalama kutokea kwenye intelligencies wao.
sio wachina tu, kama ni swala la wageni, wapo hapa wakenya,waganda, wanigeria, wahindi, wapakistani na wote hawa hawana monitoring yoyote ile.
Juzi nilikuwa nasoma hukumu ya kesi ya mengi dhidi ya mzungu aliyenyanyaswa na mdogo wake mengi, tena muingereza, alikuwa anavamiwa nyumbani kwake na hakukuwa na radio calls wala ulinzi wa aina yoyote wa kiingereza aliopowa yule jamaa, leo unasema wageni woooote wana radio calls sijui wanamonitor usalama wao, mbona unanilamisha kuona kwamba uko biased with interests ndugu yangu.
Wachukue kwenu basi wakatalii