Nurdin moh'd
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 367
- 70
Mkuu Naibili sio tetesi, ni vipeperushi pamoja na vitisho vya maneno vilivyotamalaki visiwani. Hii kitu iliripotiwa jana kufuatia tukio la kupigwa risasi padre. Kwamba polisi wanaelewa wazi kuwapo tishio hilo, lakini haikuchukua hatua yoyote. Mwaka huu hakuna sikukuu yoyote ya kikristu itafanyika kwa amani visiwani zbar. Ujumbe ndio huo.
Jussa yuko active na ugaidi tangu ajidai kajiuzulu huku amepewa missionKazi ya maalim na uamsho, kukaribisha ugaidi zanzibar!
Lakini Wazanzibar wengi wamechukizwa sana na kitendo hicho (cha Mauaji ya Fr. Mushi), maana jana niliongea na watu kadhaa wa huko Zanj na walisema Zanj ilikuwa imepoa sana siku nzima na majority hawakupendezwa kabisa na walikuwa wanalaani hiyo hali
Pakazieni dunia nzima ya kwamba z'br kuna magaidi,lakini mkae mkijua target ya wazenji ipo palepale,jamhuri ya
Watu wa z'br kwanza chokochoko hazina nafasi.
Hivi si sahihi sasa angalau kumtaka Kamishina wa Polisi Zanzibar kuachia ngazi kwani alipopigwa risasi Padri Mkenda alidai ni kwa kuwa alikuwa mwema hazina wa kanisa wakati akijua kuwa huu si ujambazi wa kawaida Bali ugaidi - amethjibitisha Leo katika kauli yake! Wakati wote Polisi waliyajua haya na vipeperushi vya uchochezi vilikuwepo.
Ugaidi unazidi kuongezeka,na itafika mahali zanzibar haitakalika tena!
Mkuu naona huyu kamishna mwenyewe ni kituko! Wamemwonesha ITV akipingana na bosi wake kwa kudai ni mapema mno kusema chanzo cha mauaji kama ni siasa, ujambazi wa kawaida, visasi, dini, n.k. Ila tu ni kwamba wamekamata watu kadhaa kuhusiana na tukio hilo ingawa hajui ni wangapi!! Askofu wa Katoliki Zanzibar amedai kuwa hana imani na jeshi la polisi Zanzibar. Mambo hayo

Nategemea kuona utalii pia Zanzibar unapungua kwa kiasi cha ajabu na kupoteza msisimuko wake kwa watalii,Watu watapoteza kazi sana..Rafiki zangu watano wakigeni wamefuta safari zao kwenda zanzibar.
JK akili yake kwa sasa anawaza ataitoaje GAS Mtwara to Bagamoyo ,hana habari na hizi habari za uisilamu na ukristo ama ugaidi unaofanywa ZenjNimezungumza na mmoja wa watumishi wa mashirika ya kimataifa (one of UN agencies) huko Zanzibar jana usiku na kitu kimoja cha kunishtua kuwa alikuwa anasubiria "roll call'. Nilipomdadisi akasema kuwa siku hiizi baadhi ya mashirika ya kimataifa na hata ya ndani yameanza kuwataka wafanyakazi wao kutembea na radio call na ikifika majira ya jioni basi wanatakiwa ku 'call in' kucheck kuwa wapo salama... na pia mkubwa wao kuita radios za watumishi kuhakikisha wanajibu.. mfanyakazi ambaye katika muda husika hawezi kupatikana kwenye radio call yake husababisha msako...
Kweli Zanzibar imefika hapo...? Kuna wengine wenye experiences kama hii au ni one of the 'isolated cases" hizi?
Nimezungumza na mmoja wa watumishi wa mashirika ya kimataifa (one of UN agencies) huko Zanzibar jana usiku na kitu kimoja cha kunishtua kuwa alikuwa anasubiria "roll call'. Nilipomdadisi akasema kuwa siku hiizi baadhi ya mashirika ya kimataifa na hata ya ndani yameanza kuwataka wafanyakazi wao kutembea na radio call na ikifika majira ya jioni basi wanatakiwa ku 'call in' kucheck kuwa wapo salama... na pia mkubwa wao kuita radios za watumishi kuhakikisha wanajibu.. mfanyakazi ambaye katika muda husika hawezi kupatikana kwenye radio call yake husababisha msako...
Kweli Zanzibar imefika hapo...? Kuna wengine wenye experiences kama hii au ni one of the 'isolated cases" hizi?
hawa watu hawataki muungano na ukristo, sasa kama muungano utakufa, hapo zbar patakalika ikiwa sasa ndio hivi? Kwa sababu inavyoonyesha srekali ya muungano ndiyo inayosababisha zbar ionekane tulivu
makafiri ka kujidanganya mnaweza sana............