Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,240
- 44,487
Nimezungumza na mmoja wa watumishi wa mashirika ya kimataifa (one of UN agencies) huko Zanzibar jana usiku na kitu kimoja cha kunishtua kuwa alikuwa anasubiria "roll call'. Nilipomdadisi akasema kuwa siku hiizi baadhi ya mashirika ya kimataifa na hata ya ndani yameanza kuwataka wafanyakazi wao kutembea na radio call na ikifika majira ya jioni basi wanatakiwa ku 'call in' kucheck kuwa wapo salama... na pia mkubwa wao kuita radios za watumishi kuhakikisha wanajibu.. mfanyakazi ambaye katika muda husika hawezi kupatikana kwenye radio call yake husababisha msako...
Kweli Zanzibar imefika hapo...? Kuna wengine wenye experiences kama hii au ni one of the 'isolated cases" hizi?
Lakini Wazanzibar wengi wamechukizwa sana na kitendo hicho (cha Mauaji ya Fr. Mushi), maana jana niliongea na watu kadhaa wa huko Zanj na walisema Zanj ilikuwa imepoa sana siku nzima na majority hawakupendezwa kabisa na walikuwa wanalaani hiyo hali
Umasikini na Amani havikai pamoja!
Sasa na biahsara ya utalii si itakufa jamani!
Nimezungumza na mmoja wa watumishi wa mashirika ya kimataifa (one of UN agencies) huko Zanzibar jana usiku na kitu kimoja cha kunishtua kuwa alikuwa anasubiria "roll call'. Nilipomdadisi akasema kuwa siku hiizi baadhi ya mashirika ya kimataifa na hata ya ndani yameanza kuwataka wafanyakazi wao kutembea na radio call na ikifika majira ya jioni basi wanatakiwa ku 'call in' kucheck kuwa wapo salama... na pia mkubwa wao kuita radios za watumishi kuhakikisha wanajibu.. mfanyakazi ambaye katika muda husika hawezi kupatikana kwenye radio call yake husababisha msako...
Kweli Zanzibar imefika hapo...? Kuna wengine wenye experiences kama hii au ni one of the 'isolated cases" hizi?
Mwenyewe nilipanga kuitembelea Tanzania Zanzibar wiki hii na sasa nimeishaghairi ninaelekea Rukinjiri- Uganda.Sasa na biahsara ya utalii si itakufa jamani!
Mkuu MMK kuna uvumi umezagaa mtaani eti wakristo zanzibar wameambiwa hawatakula pasaka kwa raha??? please kwa uthibitisho tuu waweza kutujuza hizi habari ni za kweli au ni uzushi,
mchango wangu kwenye thread ni kuwa mimi nitapata faraja kama mtu atawajibika kwa uzembe unaoendelea