Watumishi waliofanyiwa recartegorization kufutwa ajira?

hiyo ililetwa miaka ya 2004-07 kama sikosei kulikuwa na uaba mkubwa wa waalimu kwa sasa haipo tena

Yes Mkuu kulikuwa na uhaba wa walimu wa Sayansi, ndio waliokula shavu la leseni
 
Hilo goma ni la msanii yupi,.. Weka hill goma tulicheze charii angu c unajua watu tunapenda sana mapini.
 
Ukitamka neno Mwalimu huwa napata kichefu chefu, Akili zao zinaishia kwenye urefu wa chaki
Ningekuwa malaika ninge *kulaani* lakini kumbe na mimi ni mwanadamu kama wewe Mungu atusamehe sote
 
Ukitamka neno Mwalimu huwa napata kichefu chefu, Akili zao zinaishia kwenye urefu wa chaki
Umefika level gani ya elimu ?
Form 4 ulipata division gani ?
Kama ulibahatika kupita advance ulipata division gani ?
Na chuo je ulibahatika kufika ?

Anyway kwani una ugomvi gani na waalim Mkuu?
 
Huwa walishaondolewa kazin muda sana Mimi Nina staffmet wangu watatu tayar wamesharud makwao na familia zao,
 
Watanzania huwa hawakubali mpa waone,cha msingi nadhani ni kuwaombea kwa Mh Rais awaache tu waliosomea fani nyingine kwani ni kuzidi kileta upungufu wa watumishi serikalini
 
Almaarufu waliitwa vodafasta, ilikuwa program maalum ya miezi kadhaa
Ujue mara nyingine ni upungufu wa akili kichwani. Inawezekana unae andika hapa una akili ndogo sana. Hilo jina unalo andika hapo la huyo mwalimu eti vodafasta unafikiri litapunguza akili zake za kichwani.
Inawezekana anakuzidi maarifa.
 
Punguza hasira kidogo, samahani kama nimekukwaza kwa kuandika hiyo vodafasta sikutegemea kama ingekukwaza ndio maana nilisema almaarufu kama vodafasta maana ndo jina hata wanasiasa walikuwa wanalitumia sijaita hivyo kwa nia mbaya maana watu wamesema walimu wenye leseni maalumu bado hawaelewi ndipo nikataja neno vodafasta kukumbushia jina ambalo walipenda kulitumia hata wanasiasa na kuongezeaea mbele kwa msisitizo ilikuwa program maalumu ya miezi kadhaa (hiyo vodafasta lilishika kasi pale walipokuwa wanazungumzia changamoto ya hao walimu yaani wanazalisha walimu kwa wingi (vodafasta) alafu wanawapeleka vijijini pasipokuwaandalia mazingira mazuri (soma sentence yangu ukiwa ume-relax mkuu na ndio maana nikaongezea neno program maalumu..au neno vodafasta lina ukakasi kwa jinsi nilivyoandika mie)....samahani kwa kukukwaza mkuu ila nilitumia hiyo aka purposely kwa kuwa ilishika kasi kwa jina hilo kuweka sawa kwa wale walioshindwa kuelewa walimu wa leseni ni wapi
 
Ukiangalia/ kupitia post za wengine hapo juu utagundua wengi wanawakejeli hawa waalimu.
 
Na hizo kejeli na kashifa ndiyo zilipelekea wengi kusomea fani nyingine tofauti na ualimu,lakini mimi sioni tatizo hapo kwani watumishi wengi walikuwa wanasomea fani tofauti na kubadilisha idara mfano mwalimu wa diploma aliweza kusomea sheria akawa mwanasheria,kama uhitaji wao upo ktk fani mpya walizosomea basi waachwe tu,wasiongeze wimbi la wakosa ajira.
 
Ukitamka neno Mwalimu huwa napata kichefu chefu, Akili zao zinaishia kwenye urefu wa chaki
Watake radhi walimu haohao wanaokutia kichefuchefu ndio hao waliokutoa tongotongo za kichw
ani mwako mpaka umeweza kucoment humu
Ha ha ha
Najua madaktari ndio huwa wana leseni ya ku practice, sasa siku za hivi karibuni nasikia leseni ya ualimu nabaki natoa macho tu
 
Back
Top Bottom