Watumishi waliofanyiwa recartegorization kufutwa ajira?

Watumishi waliofanyiwa recartegorization kufutwa ajira?

Endapo leseni ilikuwa ya ualimu na mhusika alisoma kingine ambacho si ualimu
Maana yake hana sifa za kuwa mwalimu anakuwa na sifa za kile alichokisomea na hata hyo categorization imewezekana kwavile anazo sifa hivyo basi inaonyesha mtumishi atalipwa kwasifa zinazostahili. Endapo alikuwa anaonekana ni mwalimu basi ni mwendelezo ya WASIOJULIKANA MOVIE
 
Wanachotaka hawa wenye leseni wakafanye competition kwenye kutafuta ajira walizosomea, ila ni kweli huwezi fanyiwa recategorization kutoka ualimu kwenda uhandisi wakati hujawahi kuwa mwalimu.
 
Ha ha ha
Najua madaktari ndio huwa wana leseni ya ku practice, sasa siku za hivi karibuni nasikia leseni ya ualimu nabaki natoa macho tu
hiyo ililetwa miaka ya 2004-07 kama sikosei kulikuwa na uaba mkubwa wa waalimu kwa sasa haipo tena
 
Walimu wamejaa mtaani tele, wamesomea fani hiyo vilivyo kwanini waajiri watu waliosoma fani zingine?? Waende kwenye kazi za size yao
 
Short course za ualimu?
Kama wale voda fasta? Au course zipi

Yes wale voda rusha, yaani unaenda mafunzo mafupi ya ualimu kwakuwa kuna uhaba fulani. Ila unapewa leseni ya muda fulani uwe umeenda kusoma ualimu rasmi wa ngazi u ayofundisha.

Leseni ikiisha muda wake hujasomea ualimu kazi huna. (Sio permanent and pensionable)
 
Huo Waraka maelezo yake yameishia hapo tu au yanaendelea?
Kwani tangia lini huwa wanatoa maelezo yaliyojitosheleza?!

Kwani waliposema wale wote waliopanda madaraja tangia mwaka jana kuwa wakasaini barua zinazoonyesha wamepanda madaraja Nov 2017 walitoa maelezo gani zaidi ya ubabe wa kukwepa kulipa malimbikizo ya watu?!
Hapo hapo mtu anakuambia anakusanya kodi trilioni moja ila anakwepa kulipa wafanyakazi stahiki zao!

Jasho la mtu haliliwi.., imeandikwa!
 
Back
Top Bottom