Watumishi waliofanyiwa recartegorization kufutwa ajira?

Hao watakuwa wanafukuzwa kijanja kwani walimu wenye vyeti wapo tu kitaa,Soon walimu waliopo kitaa wajiandae na ajira
 
Hawa walimu wa leseni walipewa muda wa kujiendeleza, wengine walipewa nafasi yakusoma vyuo vya ualimu stashahada lakini hakufanya hivyo. Kwenye mfumo mpya wa malipo ya mishahara hawatambuliki. Hivyo kibarua chao kimeishia hapo
 
Naona ni zengwe tu. Mambo hayaendi sawa sasa hivi.
 
Back
Top Bottom