Aisee!Leo nimejuta kupanda gari moja na litumishi la umma lisilojitambua! Yaani linasifia ujinga, Mara Mh. Anahamisha wanyama kwenda kuanzisha mbuga ya wanyama kubwa kabisa huko kwao. Eti itakuwa mbuga ya mfano! Mara loooh, kiwanja cha Ndege cha chatco kikubwa hatari mpaka Boeing imetua pale! Sasa mitumishi ya umma design hii si ni kero tu? Inaonesha huyu jamaa atakuwa TakoKuru au TISS! Anachefua siyo kawaida!
Kuna jamaaa nilipanda nalo daladala juzi likawa niabwatuka tu kwamba ankali kadhibiti ufisadi nikataka nilichane sema nikahofia watu wasiojulikana wanaweza wakanipigaa tanchi maana ANKALI kawajaza kibao mitaani.Leo nimejuta kupanda gari moja na litumishi la umma lisilojitambua! Yaani linasifia ujinga, Mara Mh. Anahamisha wanyama kwenda kuanzisha mbuga ya wanyama kubwa kabisa huko kwao. Eti itakuwa mbuga ya mfano! Mara loooh, kiwanja cha Ndege cha chatco kikubwa hatari mpaka Boeing imetua pale! Sasa mitumishi ya umma design hii si ni kero tu? Inaonesha huyu jamaa atakuwa TakoKuru au TISS! Anachefua siyo kawaida!
We ni moja ya wapuuzi kwahiyo watumishi wa Umma ni TAKUKURU na TISS peke yake? je ni lazima watu wt wawe na mawazo au upeo kama wa kwako, hufikirii kwamba watu wana mawazo tofauti tofauti na uelewa tofauti tofauti?Leo nimejuta kupanda gari moja na litumishi la umma lisilojitambua! Yaani linasifia ujinga, Mara Mh. Anahamisha wanyama kwenda kuanzisha mbuga ya wanyama kubwa kabisa huko kwao. Eti itakuwa mbuga ya mfano! Mara loooh, kiwanja cha Ndege cha chatco kikubwa hatari mpaka Boeing imetua pale! Sasa mitumishi ya umma design hii si ni kero tu? Inaonesha huyu jamaa atakuwa TakoKuru au TISS! Anachefua siyo kawaida!
Mtoa mada anazingua mbaya, hivi watumishi wa Umma ni anavyoumia kuna anaeweza kukaa akasifia ujinga kama huo, hicho kiwanja cha chato au hao wanyama watakaopelekwa huko mtumishi wa Umma atafaidika nao nn mpk asifia kiasi hicho? Sasa jinga moja linakuja hapa kusema atakuwa TAKUKURU au TISS, hovyo kabisa.Amekutaarifu kuwa yeye ni mtumishi wa uma au ndo mnatukadiria?
Umejuaje mleta mada ni Bavicha? Au Bavicha waliwahi kukupiga mimba halafu wakakutelekeza hivyo una bifu kali nao na usipowataja kipele kinawashwa.Bavicha hulazimisha watu wote kuwa na mitazamo kama yao[emoji1745]
See[emoji1745][emoji1745]Umejuaje mleta mada ni Bavicha? Au Bavicha waliwahi kukupiga mimba halafu wakakutelekeza hivyo una bifu kali nao na usipowataja kipele kinawashwa.
Kazi ipi uliyolifanyia taifa kuwazidi hao watumishi wa umma wasiojitambua mpka kuwatusi??Leo nimejuta kupanda gari moja na litumishi la umma lisilojitambua! Yaani linasifia ujinga, Mara Mh. Anahamisha wanyama kwenda kuanzisha mbuga ya wanyama kubwa kabisa huko kwao. Eti itakuwa mbuga ya mfano! Mara loooh, kiwanja cha Ndege cha chatco kikubwa hatari mpaka Boeing imetua pale! Sasa mitumishi ya umma design hii si ni kero tu? Inaonesha huyu jamaa atakuwa TakoKuru au TISS! Anachefua siyo kawaida!
Wewe pia hujitambuiLeo nimejuta kupanda gari moja na litumishi la umma lisilojitambua! Yaani linasifia ujinga, Mara Mh. Anahamisha wanyama kwenda kuanzisha mbuga ya wanyama kubwa kabisa huko kwao. Eti itakuwa mbuga ya mfano! Mara loooh, kiwanja cha Ndege cha chatco kikubwa hatari mpaka Boeing imetua pale! Sasa mitumishi ya umma design hii si ni kero tu? Inaonesha huyu jamaa atakuwa TakoKuru au TISS! Anachefua siyo kawaida!