Shukrani na wew nikutakie mapambano memaAsante mkuu
Wengine hata 100k msosi wa mwezi haifiki, licha ya kuwa na access ya kutumia zaidi.Kwenye hiyo laki nanusu ongeza mboga za nafaka maharage kama choroko na dagaa ikiwezekana kma mnatumia
Nimeishi kijijini sikuwa natumia hata Laki na nusu Kwa mwezi Yani kilakitu na nilisurvive now Niko mjini nakula nachotaka Sina stress saa bajet inaongezeka ila nikiamua inakaa sawa so kilakitu ni wewe unavoamua Kuishi kulingana na kipato chako kma unamalengo jibane
Achana nayo. Security wakati unakufa njaa.Habari za jioni.
Nimeshindwa kupata usingizi kutokana na wimbi la mawazo.
Wakuu Take home yangu 613K Mimi ajira mpya mwaka jana ila nimekuwa na wimbi la mawazo na kuona kama sitaweza kutoboa labda nIpate washauri wengine wa maisha labda.
Nnafanya kazi mkoani,ila kadri siku zinavyoenda ninaona maisha magumu ilhali Mimi ni ajira mpya tu wa mwaka jana.
Nina mahitaji ya lazima mengi sana Nina familia ya mke na mtoto mmoja na ndugu wananitegemea.
Kila mwezi lazima.
Nitume nyumbani laki 1.
Nanunua chakula laki 150K.
Nampa mke wangu 150K ya matumizi na bills nyingine.
Kodi nimepanga chumba sebule 100K.
Sijaweka dharura Wala other charges.
Huu ni mwezi wa sita kazini sijanunua shati Wala Chochote juu ya familia yangu. Nimekuwa mtu wa mawazo na ninayeona nakuwa maskini kabisa.
Kazi yangu Ina posho ila ofisini wanatudhulumu tu hivyo hatuna Constant.
Jamani wazoefu naombeni mnishauri kama naona naenda kufeli mapema jamani.
Wengine mmewezaje?
Hivi Una mchumba?😆😊Mshahara huo na dharura na laki nanusu mna mifugo kma Kodi unalipa,laki nanusu bills gani mkeo analipia maji na umeme?
Hebu kaeni chini elezeaneni uhalisia wa maisha
Na mkeo nae kama sio mlemavu akatafute Hela ajitume wanawake mjini wanauza maandazi wanauza chakula aende shule za jirani auze ice cream natamni kungekuwa na voice note aisee😀
Safi.Ninyi ni waninga sana yaani mnakubaliana tuu kuwa mtakuwa mnatuma laki nyumbani bila sababu!? Vipato vyenu Vinafana, tuma endapo kuna dharura au ugonjwa tuu mwisho sio kila mwezi. Gombana na hao ndugu zako ndipo utaendelea. Watu ni wakongwe kazini lakini hatuna huo utaratibu wa kutuma kila mwezi bali ni penye uhitaji, dharura na wakati ambao mwenyewe nafsi yangu imeamua tuu niwakumbuke wazazi.
Kipato changu siwezi kukubaliana na mtu yeyote zaidi ya mke namna ya kutumia.
Nunua friji, weka nyama kwenye friji, chemsha maharage ya kutosha wela kwenye friji, nyanya unaweza kuziweka pia kwenye friji tena ukazigandisha, mimi kwangu nyanya zinakaa zaidi ya mwezi, kila kitu unaweza kukifanyia package ukaweka kwenye friji.
Ukinunua nyama wapime kwenye ujazo wa nusu kilo ili utumie ile inayohitajika tuu.
Ukiweza ichemshe yote gawa kwenye vi kontena weka kwenye friji.
Wekeni ratiba ya chakula na mboga na muifuate hakuna kuishi maisha ya kiswahili swahili na ya kishamba yasiyo na mpangilio.
Kisha weka malengo ya wazi ukimshirikisha mkeo kuwa, mwezi huu laki moja tutanunua vyombo, mwezi unao kiti, mwezi ujao nguo, mwezi ujao tutaanza kulipia kidogokidogo tv mwezi next and next mtakuta ndani ya mwaka mmoja mmepiga hatua.
Mimi leo naweza kuisaidia familia na wategemezi kwenye masuala muhimu tuu kwa sababu nilikataa kata kata kuishi maisha ya kimaskini ya eti kuchangia sijui sh ngapi kila mwezi no no no. Hata misaada ya kijinga jinga kutoka kwa ndugu acha kabisa huo ujinga mtabaki wote maskini.
Jitafute wewe kwanza na mkeo, jengeni familia yenu kwanza baadaye automatically mtakuwa na uwezo wa kusaidia wengine tena sio kwa laki bali kwa milioni. Otherwise utaishia jela nakuambia wewe mtumishi wa umma.
Huna mdogo ako wa kike mwenye akili kama wewe? unipasieMshahara huo na dharura na laki nanusu mna mifugo kma Kodi unalipa,laki nanusu bills gani mkeo analipia maji na umeme?
Hebu kaeni chini elezeaneni uhalisia wa maisha
Na mkeo nae kama sio mlemavu akatafute Hela ajitume wanawake mjini wanauza maandazi wanauza chakula aende shule za jirani auze ice cream natamni kungekuwa na voice note aisee😀
😀😀Sio kivileHivi Una mchumba?😆😊
Ni kadogo utaenda jela😀😀Huna mdogo ako wa kike mwenye akili kama wewe? unipasie
Mama anaupiga mwingiHabari za jioni.
Nimeshindwa kupata usingizi kutokana na wimbi la mawazo.
Wakuu Take home yangu 613K Mimi ajira mpya mwaka jana ila nimekuwa na wimbi la mawazo na kuona kama sitaweza kutoboa labda nIpate washauri wengine wa maisha labda.
Nnafanya kazi mkoani,ila kadri siku zinavyoenda ninaona maisha magumu ilhali Mimi ni ajira mpya tu wa mwaka jana.
Nina mahitaji ya lazima mengi sana Nina familia ya mke na mtoto mmoja na ndugu wananitegemea.
Kila mwezi lazima.
Nitume nyumbani laki 1.
Nanunua chakula laki 150K.
Nampa mke wangu 150K ya matumizi na bills nyingine.
Kodi nimepanga chumba sebule 100K.
Sijaweka dharura Wala other charges.
Huu ni mwezi wa sita kazini sijanunua shati Wala Chochote juu ya familia yangu. Nimekuwa mtu wa mawazo na ninayeona nakuwa maskini kabisa.
Kazi yangu Ina posho ila ofisini wanatudhulumu tu hivyo hatuna Constant.
Jamani wazoefu naombeni mnishauri kama naona naenda kufeli mapema jamani.
Wengine mmewezaje?
Kidogo kidogo ehh😆😊😀😀Sio kivile
Pole sana Mkuu.N
NIlianza hivyo mwanzoni ila nikaona kama namtesa mke wangu ila ilinisaidia.
Nilipoacha nimejikuta kwenye madeni Hela hazikai.
Mpaka nahisi nimelogwa itabidi nirudi Tena
Kwanza anayekwamisha maendeleo yangu ni huyu mke wangu
Maana kuna kipindi nilimwambka aniambie kiasi chake Cha siku Kwa chakula maana vitu vya muhimu vyote viko ndani akawa ananijibu upuuzi nilitamani nimpige.
Maana Mimi niliwahi kujitolea sehemu nilikuwa nalipwa laki 3 na ilinitosha yeye hana bajeti mwezi hauishi Hela inaisha yaani ana rough bajeti mpaka kuna muda nimeamua nikae na Hela niwe nampa kila asubuhi.
hamna shida,kama kana 17 naweza kukasubiriiNi kadogo utaenda jela😀😀
EehKidogo kidogo ehh😆😊
Basi lime isha hilo😁
Hapo hutoboi, nunua chakula mda huu wa mavuno mahindi gunia 60k, mpunga gunia 60k x 2 = 120 hapo utakula mwaka mzima. Nunua mboga kama dagaa na maharagwe weka ndani wife kazi yake iwe kupika tu mtafutie na kijishughuli kimshughulishe kwenye hiyo 300k ya chakula umpaka hapo ushaokoa 200k hom tuma 50k na zinazobaki save ufungue biasharaNikapata mshahara nanunua chakula kama 150 hapo nimeweka gas,Michele,unga,mafuta,mkaa.
Namkabidhi waifu 150K Kwa kigezo Cha kutumia elfu 5 Kila siku ya mboga na hapa nishagombana nae maana unakuta mwezi hauishi Hela imekata.
Mpaka hapo nakuwa nimeshatumia laki 3.
Laki Moja natuma nyumbani kila mwezi nabakiwa na laki nne.
Kodi nalipa laki Moja uwa nasave maana nalipa miezi mitatu.
Mpaka hapo laki 5.
Mimi nabaki na hiyo laki Moja nayo kuna muda nakuta imeisha hata sielewi inaenda wapi
Shukrani.Asante boss mawazo mazuri sana mkuu nimeyapokea