Watumishi UVCCM miezi 3 hakuna mishahara

Watumishi UVCCM miezi 3 hakuna mishahara

Mkuu,ninyi mnapaswa kufa siyo tu kucheleweshewa mishahara...kumbuka kuna watu walikuwa wamebakiza siku chache wastaafu lkn walifukuzwa na hawakupewa hata cent moja,kuna watu mm nawafaham walikuwa wameshafanya kazi serikalini zaidi ya muongo mmoja,lkn walifukuzwa na hawakupewa hata cent moja,,,,hilo ni funzo Mungu anawapeni wajinga wote kama ninyi mliokuwa mnaamini kuwa mnaweza kumfuga chui na atawajeruhi majirani!
 
Mbona unahasira namna hiyo nn shida unapenda sana wenzio wanapoteseka
Anateseka kwa kujitakia mtu type yake ndio hujiitaga wenye chama hawa na sifa zao kubwa ni majungu huwezi kaa kwenye chama muda wote huo hata ukuu wa wilaya hukupata au u DAS basi anamatatizo
 
Mara zote matarajio ya mtumishi hasa pale uongozi mpya unapoingia madarakani huwa ni positive. Kipindi cha Benno Malisa tulikuwa tunapata mishahara kwa wakati. Sadifa alikuwa anachelewa 10-15 days then tunapata mishahara. Sasa Kheri tokea aingie madarakani ni zaidi ya miezi 9 sasa, hali yetu inakuwa mbaya as days goes on. Ninapoandika uzi huu ni zaidi ya miezi mitatu sasa hatujalipwa. Sasa sijui anategemea tutaishi vipi wakati yeye anazunguka nchi nzima kufanya ziara ambazo hata impact zake hatuzioni.

Dr. Bashiru tafadhali tusaidie katika hili. tuna familia, watoto, ndugu na majamaa wanaotutegemea. Na wengine tunasomesha watoto. Tunaomba utusaidie katibu Mkuu. hali ya maisha ni ngumu sana, tunaomba utuokoe
wacha niimbe: la haula masha - allah...muhammda kazurura
 
Mara zote matarajio ya mtumishi hasa pale uongozi mpya unapoingia madarakani huwa ni positive. Kipindi cha Benno Malisa tulikuwa tunapata mishahara kwa wakati. Sadifa alikuwa anachelewa 10-15 days then tunapata mishahara. Sasa Kheri tokea aingie madarakani ni zaidi ya miezi 9 sasa, hali yetu inakuwa mbaya as days goes on. Ninapoandika uzi huu ni zaidi ya miezi mitatu sasa hatujalipwa. Sasa sijui anategemea tutaishi vipi wakati yeye anazunguka nchi nzima kufanya ziara ambazo hata impact zake hatuzioni.
Kwani ni lazima uajiriwe na uvccm,acha kazi badala ya kuja kulia mitandaoni,kwani mkataba wako wa kazi unasemaje usipolipwa mshahara?
 
Hiv kwan mnafanyakazi gani? zaidi ya majungu na kusoma magazeti na kuingia social media basi, ukiwaambia kila anayekuja ofisin arodheshe kazi aliyofanya kwa kutwa hakuna kitu, sasa mshahara wa nni ? Hongera sana Mh. RAIS fanyeni kazi sio kuishi kijanja kijanja.Mtu akipost thread 1 tayar anataka malipo.
 
na mwenyekiti mkuu mbona huwa anasimamishwa na raia anagawa mil10 tano za kufikia tu huko anashindwa kuwalipeni kwa zaidicya miez yote hiyo?
Anazigawa pesa kama Karanga.....

Kumbe ni bonge la Show tuu!
 
Back
Top Bottom