Watumishi UVCCM miezi 3 hakuna mishahara

Watumishi UVCCM miezi 3 hakuna mishahara

Pagan Amum

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2015
Posts
1,930
Reaction score
4,409
Mara zote matarajio ya mtumishi hasa pale uongozi mpya unapoingia madarakani huwa ni positive. Kipindi cha Benno Malisa tulikuwa tunapata mishahara kwa wakati. Sadifa alikuwa anachelewa 10-15 days then tunapata mishahara. Sasa Kheri tokea aingie madarakani ni zaidi ya miezi 9 sasa, hali yetu inakuwa mbaya as days goes on. Ninapoandika uzi huu ni zaidi ya miezi mitatu sasa hatujalipwa. Sasa sijui anategemea tutaishi vipi wakati yeye anazunguka nchi nzima kufanya ziara ambazo hata impact zake hatuzioni.

Dr. Bashiru tafadhali tusaidie katika hili. tuna familia, watoto, ndugu na majamaa wanaotutegemea. Na wengine tunasomesha watoto. Tunaomba utusaidie katibu Mkuu. hali ya maisha ni ngumu sana, tunaomba utuokoe
 
hahaha pale ccm wanapo ona umuhimu wa JF ktk kupitishia vilio vyao

ndio maana akina
pohamba
stroke
imhotep
na wengine kama hao wanaonekana kwa machale kumbe bando tatizo
 
Uvccm ni ya vijana below 30 by age ..Sasa nyie majukumu ya wababa ambao sio vijana mmeyatoa wapi..eti mna somesha,Khaaa sisi humu uvccm tunajua wote hatuna watoto wala hatutegemewi ndio maana hata boss Hana muda wa kutulipa,anajua tunakula,kuoga,kulala home.
Mtu mwenye majukumu ya ku somesha na wategemezi kibao hawezi bweteka kufanya Kazi uvccm ,lazima uwe na Kazi Yako ,uvccm ni ziada tuuu.pambaneni na Hali Zenu nyie uvccm .
 
We mlalamikaji ni muajiliwa au kibarua mshabiki? washabiki ni kama wafanyakazi hewa AWAMU hii hakuna malipo hujaelewa. labda Subiri kampeni zikifika ndio mlipwe, tena zile ni posho sio mshahara usichanganye. Na wale wa book 7 ni kundi hili hili la waajiliwa hewa
 
Mkishiba mnakejeri wasio na ajira,
Watoto wetu wakinyimwa mkopo nnasema sisi ni matajiri,
Tukilalamika ajira hamna mnasema tujiajiri,

Hatushangai tunawajua, kelele zako ni za muda mfupi, ukishiba utaanza tena kejeri,
We wish you all the best soma hizi 96585533255663666666666562233
 
watumie njia hii kuzisoma

For example, starting with f0(n) = n + 1:

  • f1(n) = f0n(n) = n + n = 2n
  • f2(n) = f1n(n) = 2nn > (2 ↑) n for n ≥ 2 (using Knuth up-arrow notation)
  • f3(n) = f2n(n) > (2 ↑)n n ≥ 2 ↑2 n for n ≥ 2.
  • fk+1(n) > 2 ↑k n for n ≥ 2, k < ω.
  • fω(n) = fn(n) > 2 ↑n – 1 n > 2 ↑n − 2 (n + 3) − 3 = A(n, n) for n ≥ 2, where A is the Ackermann function (of which fω is a unary version).
  • fω+1(64) > fω64(6) > Graham's number (= g64in the sequence defined by g0 = 4, gk+1 = 3 ↑gk 3).
    • This follows by noting fω(n) > 2 ↑n – 1 n> 3 ↑n – 2 3 + 2, and hence fω(gk + 2) > gk+1 + 2.
  • fω(n) > 2 ↑n – 1 n = (2 → nn-1) = (2 → nn-1 → 1) (using Conway chained arrow notation)
  • fω+1(n) = fωn(n) > (2 → nn-1 → 2) (because if gk(n) = X → nk then X → nk+1 = gkn(1))
  • fω+k(n) > (2 → nn-1 → k+1) > (nnk)
  • fω2(n) = fω+n(n) > (nnn) = (nnn→ 1)
  • fω2+k(n) > (nnnk)
  • fω3(n) > (nnnn)
  • fωk(n) > (nn → ... → nn) (Chain of k+1 n's)
  • fω2(n) = fωn(n) > (nn → ... → nn)(Chain of n+1 n's)
 
Haya siyo mambo ya ndani sana? mbona unayaleta hadharani? kweli njaa mwanaharamu
Kwa Kawaida matatizo yasipotatuliwa mapema ni lazima yatoke hadharani. Ingekuwa mwezi mmoja yangebaki huko sasa wewe miezi mitatu hawajalipwa ingekuwa wewe ungefanyaje? Mwenyekiti anazunguka mikoani najiwekea kibindoni maalawansi kibao huku wenzake wanateseka
 
na mwenyekiti mkuu mbona huwa anasimamishwa na raia anagawa mil10 tano za kufikia tu huko anashindwa kuwalipeni kwa zaidicya miez yote hiyo?
 
Toka enzi za malisa umeajiriwa uvccm mapak sasa bado upo basi wew unamatatizo ama ni mzito ama umebweteka wewe acha aendelee kubana upate akili ya kufanya inshu ingne
 
Back
Top Bottom