Watumishi UVCCM miezi 3 hakuna mishahara

Mara zote matarajio ya mtumishi hasa pale uongozi mpya unapoingia madarakani huwa ni positive. Kipindi cha Benno Malisa tulikuwa tunapata mishahara kwa wakati. Sadifa alikuwa anachelewa 10-15 days then tunapata mishahara. Sasa Kheri tokea aingie madarakani ni zaidi ya miezi 9 sasa, hali yetu inakuwa mbaya as days goes on. Ninapoandika uzi huu ni zaidi ya miezi mitatu sasa hatujalipwa. Sasa sijui anategemea tutaishi vipi wakati yeye anazunguka nchi nzima kufanya ziara ambazo hata impact zake hatuzioni.

Dr. Bashiru tafadhali tusaidie katika hili. tuna familia, watoto, ndugu na majamaa wanaotutegemea. Na wengine tunasomesha watoto. Tunaomba utusaidie katibu Mkuu. hali ya maisha ni ngumu sana, tunaomba utuokoe
Mungu fundi mpka akili ziwakae sawa hao vilaza,naskia wamejaa vumbi mpka kwenye mizuti yao kwa alosto ya miezi 3
 
Mara zote matarajio ya mtumishi hasa pale uongozi mpya unapoingia madarakani huwa ni positive. Kipindi cha Benno Malisa tulikuwa tunapata mishahara kwa wakati. Sadifa alikuwa anachelewa 10-15 days then tunapata mishahara. Sasa Kheri tokea aingie madarakani ni zaidi ya miezi 9 sasa, hali yetu inakuwa mbaya as days goes on. Ninapoandika uzi huu ni zaidi ya miezi mitatu sasa hatujalipwa. Sasa sijui anategemea tutaishi vipi wakati yeye anazunguka nchi nzima kufanya ziara ambazo hata impact zake hatuzioni.

Dr. Bashiru tafadhali tusaidie katika hili. tuna familia, watoto, ndugu na majamaa wanaotutegemea. Na wengine tunasomesha watoto. Tunaomba utusaidie katibu Mkuu. hali ya maisha ni ngumu sana, tunaomba utuokoe
Hatunywi sumu hatujinyongi*2
Ccm mbele kwa mbele
Tumeipenda wenyewe
Chaguo letu wenyewe

Mlikuwa mnatuimbia tuisome namba sisi watanzania wa kawaida, ni faraja kubwa na nyie kuanza kuisoma.

Waendelee kubana
 
watumie njia hii kuzisoma

For example, starting with f0(n) = n + 1:

  • f1(n) = f0n(n) = n + n = 2n
  • f2(n) = f1n(n) = 2nn > (2 ↑) n for n ≥ 2 (using Knuth up-arrow notation)
  • f3(n) = f2n(n) > (2 ↑)n n ≥ 2 ↑2 n for n ≥ 2.
  • fk+1(n) > 2 ↑k n for n ≥ 2, k < ω.
  • fω(n) = fn(n) > 2 ↑n – 1 n > 2 ↑n − 2 (n + 3) − 3 = A(n, n) for n ≥ 2, where A is the Ackermann function (of which fω is a unary version).
  • fω+1(64) > fω64(6) > Graham's number (= g64in the sequence defined by g0 = 4, gk+1 = 3 ↑gk 3).
    • This follows by noting fω(n) > 2 ↑n – 1 n> 3 ↑n – 2 3 + 2, and hence fω(gk + 2) > gk+1 + 2.
  • fω(n) > 2 ↑n – 1 n = (2 → nn-1) = (2 → nn-1 → 1) (using Conway chained arrow notation)
  • fω+1(n) = fωn(n) > (2 → nn-1 → 2) (because if gk(n) = X → nk then X → nk+1 = gkn(1))
  • fω+k(n) > (2 → nn-1 → k+1) > (nnk)
  • fω2(n) = fω+n(n) > (nnn) = (nnn→ 1)
  • fω2+k(n) > (nnnk)
  • fω3(n) > (nnnn)
  • fωk(n) > (nn → ... → nn) (Chain of k+1 n's)
  • fω2(n) = fωn(n) > (nn → ... → nn) (Chain of n+1 n's)
Bila shaka hii ni formula ya kupaisha ndege ya bombardier ya ********
 
Muwe wavumilivu kipindi cha mwisho mtalipwa magunia ya mshahara na siyo vimishahara.
 
Miradi iliyokuwa inaingiza kipato wameivunja vunja yote - iko wapi mango garden na maduka yaliyokuwepo?
 
Mara zote matarajio ya mtumishi hasa pale uongozi mpya unapoingia madarakani huwa ni positive. Kipindi cha Benno Malisa tulikuwa tunapata mishahara kwa wakati. Sadifa alikuwa anachelewa 10-15 days then tunapata mishahara. Sasa Kheri tokea aingie madarakani ni zaidi ya miezi 9 sasa, hali yetu inakuwa mbaya as days goes on. Ninapoandika uzi huu ni zaidi ya miezi mitatu sasa hatujalipwa. Sasa sijui anategemea tutaishi vipi wakati yeye anazunguka nchi nzima kufanya ziara ambazo hata impact zake hatuzioni.

Dr. Bashiru tafadhali tusaidie katika hili. tuna familia, watoto, ndugu na majamaa wanaotutegemea. Na wengine tunasomesha watoto. Tunaomba utusaidie katibu Mkuu. hali ya maisha ni ngumu sana, tunaomba utuokoe
Pmbvf&#*#**¥ zenu mkome, enzi za JK hamkuwa mnalalamika sababu Wafanyabiashara wakubwa ndo mliwafanya kuwa "Makamanda" wenu wa Wilaya/Mikoa...sasa Jiwe hela zote hadi za chama kapeleka kwao kujenga Uwanja wa Ndege
 
Mara zote matarajio ya mtumishi hasa pale uongozi mpya unapoingia madarakani huwa ni positive. Kipindi cha Benno Malisa tulikuwa tunapata mishahara kwa wakati. Sadifa alikuwa anachelewa 10-15 days then tunapata mishahara. Sasa Kheri tokea aingie madarakani ni zaidi ya miezi 9 sasa, hali yetu inakuwa mbaya as days goes on. Ninapoandika uzi huu ni zaidi ya miezi mitatu sasa hatujalipwa. Sasa sijui anategemea tutaishi vipi wakati yeye anazunguka nchi nzima kufanya ziara ambazo hata impact zake hatuzioni.

Dr. Bashiru tafadhali tusaidie katika hili. tuna familia, watoto, ndugu na majamaa wanaotutegemea. Na wengine tunasomesha watoto. Tunaomba utusaidie katibu Mkuu. hali ya maisha ni ngumu sana, tunaomba utuokoe

Mnafanya kazi gani hadi mpewe mshahara? Nendeni kwa mwenyekiti wenu, yeye huwa anagawa mapapai na fedha taslimu barabarni. Huenda mishahara hueda mishara ndio inatumika kutafutia ujiko wa kisiasa.
 
Hiv kwan mnafanyakazi gani? zaidi ya majungu na kusoma magazeti na kuingia social media basi, ukiwaambia kila anayekuja ofisin arodheshe kazi aliyofanya kwa kutwa hakuna kitu, sasa mshahara wa nni ? Hongera sana Mh. RAIS fanyeni kazi sio kuishi kijanja kijanja.Mtu akipost thread 1 tayar anataka malipo.
Mbaya zaidi ID zenyewe ni za ofisi muda wowote zinabadilishwa password unapokonywa na tablet anapewa kibarua mpya.
 
Sisiemu sisiemu oooh ohhh chama chama pinduxi sisiemu namba wani
Wembe ni ule ule topazii wembr ni ule ule topazi
 
Kunywa Maji mwanangu....
Hapana haitoshi. Wafanye maamuzi kama yale ya Polisi wa Jana.
Tukisikia uvccm 45 wamejitia kitanzi ndani ya SAA 24 nadhani hapo somo litasomeka.
Sheik mkuu wa Dar yupo atasoma dua
 
Back
Top Bottom