Watumishi mjiandae kisaikolojia

Watumishi mjiandae kisaikolojia

Wewe mtumishi,ni mda wa kuchukua tahadhari mapema
1.Hakikisha unaweka akiba ya chakula cha kukutosha kadri utakavyoweza,jitahidi angalau chakula cha miezi mitatu kisikauke ndani
2 Fuga japo kuk4 u 5,pamoja na bustani ndogo za mboga
Ni hayo tu kwa leo 23/11/2018,msije mkasema sikuwaambia.
tuliokuchkulia poa tumeanza kukuelewa
 
Ingawa sio vizuri kujadili maisha binafsi ya mtu,lakini kiukweli kuanzia jana watumishi wa uma wamepata taabuuu sana. Jiulize sasa mshahara uje uchelewe zaidi mwezi itakuwa balaaa
nikuombe tuu uapdate huo uzi uongezee nyama kidogo, mambo yamekuwa ngangari,sio kwa watumishi tuu hata kwa waliojiajiri
 
Baadhi ya watumishi huku kwetu wamechanganyikiwa mpaka unakuta mtu anachota maji ndani anapeleka kisimani. Sijui serikali ina mpango gani mwezi huu. Labda inataka ipandishe mishahara.
Upande kutoka bajeti ipi?
 
Wewe mtumishi,ni mda wa kuchukua tahadhari mapema
1.Hakikisha unaweka akiba ya chakula cha kukutosha kadri utakavyoweza,jitahidi angalau chakula cha miezi mitatu kisikauke ndani
2 Fuga japo kuk4 u 5,pamoja na bustani ndogo za mboga
Ni hayo tu kwa leo 23/11/2018,msije mkasema sikuwaambia.
Wenzenu wastaafu miezi minne inakatika holaa!
 
Wewe mtumishi,ni mda wa kuchukua tahadhari mapema
1.Hakikisha unaweka akiba ya chakula cha kukutosha kadri utakavyoweza,jitahidi angalau chakula cha miezi mitatu kisikauke ndani
2 Fuga japo kuk4 u 5,pamoja na bustani ndogo za mboga
Ni hayo tu kwa leo 23/11/2018,msije mkasema sikuwaambia.
Watumishi gani?
Watuishi wa Mungu au wa Shetani?
Watumishi wa ndani au wa kwenye mashamba ya kilimo?
Watumishi gani hao? Na kuna nini kitatokea kwa hao watuishi unaowapa tahadhali? Fafanua.
 
Back
Top Bottom