Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,261
- 72,431
hata sijapotea mkurugenzi wangu...nipo mishe za hapa na pale ziliniweka busy kidooogoUlipotelea wapi boss
hata sijapotea mkurugenzi wangu...nipo mishe za hapa na pale ziliniweka busy kidooogoUlipotelea wapi boss
Haya karibu nyumbani.hata sijapotea mkurugenzi wangu...nipo mishe za hapa na pale ziliniweka busy kidooogo
Ni tahadhali tuacha kuwapa hofu watumishi
sio kutishani kukumbushana umuhimu wa tahadhaliMkuu unatutisha siyo lkn ulichosema ni chema vilevile
Ni kweli,kila mtu anahusikaC tu kwa watumishi, hili nadhani kila m1 wetu lina mhusu,
Ahsante kwa kutukumbusha mtoa mada.
TayariWewe mtumishi,ni mda wa kuchukua tahadhari mapema
1.Hakikisha unaweka akiba ya chakula cha kukutosha kadri utakavyoweza,jitahidi angalau chakula cha miezi mitatu kisikauke ndani
2 Funga japo kuk4 u 5,pamoja na bustani ndogo za mboga
Ni hayo tu kwa leo 23/11/2018,msije mkasema sikuwaambia.
Njoo PM please, urgent!Ni kweli usemacho na kama namba mbili wengi walishaifanyia kazi. Huwezi kosa hiyo kitu kwa mwenye eneo la kufanya hivyo.
Hakuna jiwe halitaguswaVipi kuhusu sisi wa buku 7 , huu uzi unatuhusu?
HongeraTayari
DuhhNasikia mnampango kutukata mishahara yetu kukamilisha ujenz wa SGR to mwanza!
sureNi kweli usemacho na kama namba mbili wengi walishaifanyia kazi. Huwezi kosa hiyo kitu kwa mwenye eneo la kufanya hivyo.
Pruuuuuuhp maisha ya wafanyakazi yatakua ki2ko pension wakatwe hadi mishahala serikali itasababisha wafanyakazi waanzekuongea pekeao barabaraniNasikia mnampango kutukata mishahara yetu kukamilisha ujenz wa SGR to mwanza!
wameshaanza kuongea peke yao mabarabaraniPruuuuuuhp maisha ya wafanyakazi yatakua ki2ko pension wakatwe hadi mishahala serikali itasababisha wafanyakazi waanzekuongea pekeao barabarani