- Thread starter
- #41
ata watstafu watalajiwa waliambiwa kuhususu 25percent, wakasema wasitishweAcha kutishia watu wewe!
ata watstafu watalajiwa waliambiwa kuhususu 25percent, wakasema wasitishweAcha kutishia watu wewe!
Wanakopa sana,ingawa kukopa siyo dhambiHahaa watumishi mna hali ngumu sana " Nchi kama mmekodishiwa
Wenzako wamepokea mshahara nusuThread za stress hizi ... Haya tumekusikia
wa mwezi gani?Wenzako wamepokea mshahara nusu
Desemba 2018wa mwezi gani?
Duuuh ! Mungu aepushie mbaaliDesemba 2018
Kwa kweli,Mungu ahusikeDuuuh ! Mungu aepushie mbaali
ImpossibleWatumishi mshaambiwa huo sio mshahara ni bonus kwa ajiri ya sikukuu ko tumien mnavotaka watoto wafurahie sikukuu majumban. ...mshahara mnaingiziwa tarh 3 January
Subiri ubatizo wa motoMkuu unatutisha siyo lkn ulichosema ni chema vilevile
Kimbilia kwenye plan BSijui tukimbilie wapi,,hali inzidi kuwa mbaya.
Umpate alie Nona mkiaNyama ya bata ni nzuri sana
[emoji1787][emoji23]Mwingine leo kaniambia ni sikukuu ya 34 toka apate mshahara wa mwezi uliopita.
Kuna sehem pia jamaa kasema wamelipwa mara ya mwisho mwezi wa Disemba 2018. Ni wa halmashaur.Mwingine leo kaniambia ni sikukuu ya 34 toka apate mshahara wa mwezi uliopita.