Ubinafsi ni gereza kubwa nchini Tanzania. Ili kutoka katika gereza hili lazima kila mmoja ashiriki kikamilifu.Waajili wamejaa ubinafsi wa hali ya juu sana. Raia wanalia njaa, kukoswa ajira, kumbe wengine wanalipa wafanya kazi hewa. Vijana wengi wenye vigezo vya kazi wanadhurura mitaani kutokana na uhaba wa ajira, kumbe wengine wanakula bila jasho. Cha kushangaza wanaofanya hivyo pengine na wao walikuwa wakilalamika hivi hivi. Na hivyo kusema mtu analalamika kwa sababu amekoswa ufa au upenyo wa kufanya hivyo. Jamani, mabadiliko yanaanza na mtu binafsi, mmoja baada ya mwingine. Watanzania tubadilike.
NAONA UMEAMUA KUWA SERIOUS NA MADAUbinafsi ni gereza kubwa nchini Tanzania. Ili kutoka katika gereza hili lazima kila mmoja ashiriki kikamilifu.Waajili wamejaa ubinafsi wa hali ya juu sana. Raia wanalia njaa, kukoswa ajira, kumbe wengine wanalipa wafanya kazi hewa. Vijana wengi wenye vigezo vya kazi wanadhurura mitaani kutokana na uhaba wa ajira, kumbe wengine wanakula bila jasho. Cha kushangaza wanaofanya hivyo pengine na wao walikuwa wakilalamika hivi hivi. Na hivyo kusema mtu analalamika kwa sababu amekoswa ufa au upenyo wa kufanya hivyo. Jamani, mabadiliko yanaanza na mtu binafsi, mmoja baada ya mwingine. Watanzania tubadilike.
Kwa kweliNAONA UMEAMUA KUWA SERIOUS NA MADA