Watumiaji wa Internet Explorer wana IQ ndogo

EMT

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
14,477
Reaction score
15,347
Utafiti uliofanywa unaonyesha kuwa watumiaji wa Internet Explorer wana IQ ndogo. Utafuti umekuta kwamba wanaotumia Chrome, Firefox na Safari wana IQ ya kati na wale wanaotumia Camino and Opera wana IQ ya juu sana. Kampuni iliyofanya huo utafiti inaitwa AptiQuant na wametishiwa kuchukuliwa hatua za kisheria na wapenzi wa Internet Explorer. Habari kamili: BBC News - Internet Explorer users have lower IQ says study

Wewe unatumia browser ipi? Mie Chrome.
 
wanasema hivyo kwasababu IE ni rahisi kutumia?

Hapana. Nafikiri walengwa ni wale ambao bado wanatumia internet Explorer 6 ambayo ni "notoriously buggy and incompatible with pretty much everything except malware." Imagine Internet explorer sasa ipo version ya 9 lakini bado wapo wanatumia version ya 6 na wanaona is perfectly fine. Kiutaalamu wanasema watu wenye IQ ndogo hawapendi mabadiliko. Kwa hiyo utafiti umejaribu ku extend hii hypothesis kwenye software japokuwa wamesema utafiti zaidi unatakiwa.

Kabla ya hii study, nilichokuwa najaua ni kuwa kama unatumia Internet Explorer hata kama ni latest version, you're likely to encounter malwares, trojans, na hata vurus kulinganisha na browsers nyingine. Sababu ni kwamba, tofauti na browsers nyingine, Internet Explorer inakuwa more targeted zaidi kwa kuwa bado inatumiwa na watu wengi na wengi wa hao watu hawafanyi regular updates.
 
hapo nimekusoma mkuu
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Lakini si bado unapata
Information unayotaka.
Google si ile ile kwenye
Internet explore, sijui safari na hiyo
Opera...
Au ni sisi tunapenda kujibuguza na
Kujifanya tunajua sana ...
IQ ya kati kama unatumia Firefox, safari
IQ kubwa opera, internet explore chini..
Kazi kweli kweli.....
 
inaonekana unatumia internet explorer ww.
 
IE ndio users weng tunatumia esp africa,Mozila ff,chrome n opera,kwa vijimodem vyetu hapa bongo,zina browse ver slowly,thats why i prefer ie..
 
kwa spidi za internet hapa Afrika mashariki IE ni poa zaidi.Hizo nyingine utakesha una refresh.
 
Hapana. Nafikiri walengwa ni wale ambao bado wanatumia internet Explorer 6 ambayo ni "notoriously buggy and incompatible with pretty much everything except malware." Imagine Internet explorer sasa ipo version ya 9 lakini bado wapo wanatumia version ya 6 na wanaona is perfectly fine. Kiutaalamu wanasema watu wenye IQ ndogo hawapendi mabadiliko. Kwa hiyo utafiti umejaribu ku extend hii hypothesis kwenye software japokuwa wamesema utafiti zaidi unatakiwa.

Kabla ya hii study, nilichokuwa najaua ni kuwa kama unatumia Internet Explorer hata kama ni latest version, you're likely to encounter malwares, trojans, na hata vurus kulinganisha na browsers nyingine. Sababu ni kwamba, tofauti na browsers nyingine, Internet Explorer inakuwa more targeted zaidi kwa kuwa bado inatumiwa na watu wengi na wengi wa hao watu hawafanyi regular updates.
EMT ,haya mambo user wa kawaida kuyafahamu sio rahisi.Wengi wanaojua wana idea na mambo ya IT especialy ukizingatia Computer ziliingia Tanzania na OS ilikuwa ya Microsoft (Windows)
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Back
Top Bottom