nilijaribu plisner sijui nimepatia miaka hyoo yaani nusu glass nikatapika yote.chuo nikajaribu tusker reds castle zoote nikashindwa nikajaribu konyagi yaani harufu tu natapika nikaja viroba mama yangu ni shida ..casltle lite hizi masaint anna nimeshindwa.yaani naishia kumeza mate tu ..yaani ningekuwa bonge la mlevi kupunguza mastress basi tu pombe zimenikataa naishia kulalalala tu