Hii dunia watu wenye nguvu ni wenye pesa

Mhaya

JF-Expert Member
Aug 20, 2023
1,658
4,866
Hii dunia watu wenye nguvu ni wenye pesa. Sio wenye elimu wasio na pesa, sio viongozi wa dini wasio na pesa.

Ukitaka kuwa na nguvu, tafuta pesa kwanza. Mkeo ukimfumania na mtu mwenye pesa akiwa anatoka hotelini, utashitakiwa kwa kupeleka fujo hotelini kwa watu.

Braza tafuta pesa. Pesa hainunui furaha, jidanganye na huo mfano kana kwamba umasikini unanunua furaha.

Hata wanasiasa mnaowaona wana nguvu, wapo chini ya watu wenye pesa. Ukiwa na pesa unapata nguvu, utaitawala dunia, utawaambia watu dunia ni duara na watakubali, utawaambia binadamu wa kwanza nyani nao watakubali.
 
Ndio mkuu,pesa ndio yenye sauti USA anatumia financial power kufanya chochote pale UN,maana anachangia zaidi ya 49%,ya gharama za kuendesha mashirika ya UN,ona sasa pale Gaza ,lile shirika limesitisha majukumu yake,kisa pesa, na pia elewa why Dr.Salim A.Salim hakupata nafasi ya kuongoza UN,ni USA kutumia veto yake ya pesa, tafuta pesa ,ukiwa nazo hata rpc atakuogopa maana utamweka kwenye pay roll yako, Tafuta pesa ...Yes mkuu
 
Watu wenye nguvu nchi za kikomunisti ni wanasiasa nasema viongozi wa chama tawala.

Hiyo ya wenye pesa ndio wenye nguvu labda katika nchi za kibepari ila sio nchi za kikomunisti.

Ukitaka kujua hilo uliza kuhusu Jack Ma na matajiri wa kichina wakwepa kodi na watembeza rushwa na wanao jifanya wajuaji kuzidi mamlaka wanafanywa nini na pesa zao chafu walizo nazo ?

Nchi za kikomunisti siasa zina nguvu kubwa kuliko hata pesa ulizo nazo ila position uliyo nayo katika uongozi au siasa ndio yenye power
 
Back
Top Bottom