mrengo wa kushoto
Senior Member
- Sep 27, 2015
- 100
- 185
Andoid umetumia simu gani?Baada ya kujichanga kwa muda fulani nikajizolea iPhone 13 Pro Max pale Mlimani city sikutaka zile Kushoto nyingi Mara iphone za Mwenge fake Mara Kariakoo ukinunua ushapigwa tayari
BAADA YA KUJUA SASA
Hakuna iPhone fake labda zile zenye android ni copy kweli kweli ila mpaka upigwe duuuh wewe Hujui simu kwa kweli
RAHA ZILIZOPO IPHONE
Nimegundua IOS ina sifa nyingi zaidi ya android
Mpaka sasa Ukiwa na iphone unaweza kupromote reels kwenye instagram Wakati hicho kitu android hakipo
Kwenye ufasta hapa iOS Kaua sana ni kuteleza tu kwa chochote utakachofanya iwe online au offline
Picha kali sana hapa mpaka Huyo google pixel akasome anasifiwa tu hana Hizo sifa (japo katika android ni simu kali sana Ila muonekano nao imenyimwaaa kuitoa Zaidi ya million mbili KISA CAMERA TU DUUUH)
Vingine tuongezee
Isije ikawa oppo A5 kukarukia iphone13.
..Paid apps nyingi sana.
..Sharing au kuchukua kitu ni hectic mpaka itunes.
..Refresh rate ndogo compared kwa hata samsung ya zamani bado unasema diplay iko vizuri.
..Poor zoomed in photos.
..Same machine different body every year and dummies are excited everytime😃
..Made in China

pia sina nia mbaya. Twende kazi.
. Mkuu kwanza nicheke maana haya mambo nadhani yalikua debates za mwaka 2017-2019 baada ya hapo tulimove on na kutafta sababu zingine. 