Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,371
- 14,481
Sisi wenye Vivo tunaruhusiwa kuchangia mjadala?.
Hakuna Mrusi wala Mchina hapo. Endelea kufurahia iOS.Baada ya kujichanga kwa muda fulani nikajizolea iPhone 13 Pro Max pale Mlimani city sikutaka zile Kushoto nyingi Mara iphone za Mwenge fake Mara Kariakoo ukinunua ushapigwa tayari
BAADA YA KUJUA SASA
Hakuna iPhone fake labda zile zenye android ni copy kweli kweli ila mpaka upigwe duuuh wewe Hujui simu kwa kweli
RAHA ZILIZOPO IPHONE
Nimegundua IOS ina sifa nyingi zaidi ya android
Mpaka sasa Ukiwa na iphone unaweza kupromote reels kwenye instagram Wakati hicho kitu android hakipo
Kwenye ufasta hapa iOS Kaua sana ni kuteleza tu kwa chochote utakachofanya iwe online au offline
Picha kali sana hapa mpaka Huyo google pixel akasome anasifiwa tu hana Hizo sifa (japo katika android ni simu kali sana Ila muonekano nao imenyimwaaa kuitoa Zaidi ya million mbili KISA CAMERA TU DUUUH)
Vingine tuongezee
IG unateleza
Huku MB nazo zikiteketea kwa kasi ya 5G



alafu utasikia Voda weziNyie tena 😂una kiwanja au nyumba?
Masaa matatu?
Akati robo saa tu ukarudisha 🤣🤣
Dogo huna shukrani wewe
🤣🤣 waache na magereza yaoNa tunasikilizana vema bila tatizo lolote😄
SMS zinafika ontime
Katika mazingira ya kutatanishaCamera namba 2 imepotea 🤣
Ile sio simu jamani
Khaaa
Wewe ni iphone user acha kamba, mi mwenyewe nipo mbadala kwa mda ila iphone ndio nyumbaniHeee tunashukuru
Me na huu mbadala wangu nikimpigia shoo Lenie nampata
Sema ilikuwa noma sanaKatika mazingira ya kutatanisha
Kweli uchawi upo😂
Sina aifon mkuu 🙂Wewe ni iphone user acha kamba, mi mwenyewe nipo mbadala kwa mda ila iphone ndio nyumbani
Rich friends ambao ukihitaji laki 2 ya fasta unaipata fastaa🤣🤣Sema ilikuwa noma sana
Na pia akiba ni muhimu
Rich friends ni wa muhimu sana
🤣🤣
Maana kuna nyakati hata bebiyo anakupaki
Hatuna simuSijui kwanini .. hii mijadala mi huwa hainihusu kabisaa

