Watu wenye hasira zaidi duniani

-Watu wafupi
-macho kumchuzi
-wenye kigugumizi
-wenye mabusha
Nb.hiki ni kizalia hawakupenda kuwa hivyo....usiwacheke kuwabeza wala kuwadhihaki.HUJAFA HUJAUMBIKA...!!!
samahani mkuu,hao wenye macho kumchuzi ndio wako je?
Wasio na mihela
ao nadhani pia ni wamoja wapo kati ya ao hapo juu,maana wote ni watu wenye mahitaji maalumu,ila hasa waliokosa hela ni serious case,na ugonjwa na ulemavu wao unahitaji critical attention
Lakini wakiwa na mijipesa, hasira zinayeyuka. Hasira zao huonekana tu wakiwa mafukara
pesa sabuni ya roho kakake!
lakini wakiwa na dyudyu kubwa na pesa nyingi hawawi na hasira
dyudyu kubwa na pochi nene vinafidia madhaifu yako
 
samahani mkuu,hao wenye macho kumchuzi ndio wako je?

ao nadhani pia ni wamoja wapo kati ya ao hapo juu,maana wote ni watu wenye mahitaji maalumu,ila hasa waliokosa hela ni serious case,na ugonjwa na ulemavu wao unahitaji critical attention

pesa sabuni ya roho kakake!
dyudyu kubwa na pochi nene vinafidia madhaifu yako
Refer commander Kover
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom