ninakubali kabisaa mzee kua wapo..! hata mimi nina marafiki wengi tu wahaya ila jinsi ninavyo wachukulia jamaa na kitu jamaa alichonifanyia kwakweli yani imeniuma sana yani..! inaonekana mchizi hajui nini maana ya ustaarabu na wakati wenzake wengi hua wanajitahidi sana kuuonyesha ustaarabu wao ndio maana nikaonyesha kushangazwa kwangu kua jamaa tena ni mhaya yani..!
baaasi jamani mnataka kupigana..! nyie yangewakuta kama yaliyo nikuta mngekua na simile nyie..? hapa sidhani..!
Huyu Mr. rocky ni talc, tunamdrill kwa ulimi tena ndani
hahitaji hayo marig yenu
Wewe!!Hunijui, sikujui achana na mimi.
Wewe!! Hunifahamu, sikufahamu achana na mimi.
rocky usinichkulie poa..! mimi nina drill hata rocks remember..!
ha ha ha, umesahau source - Lizzy & TF
Sawa sawa sijakataa mkuu ila one point here ni kuhusu ulivyo-generalize wahaya
Wako wengi wenye mambo hayo ambao kwao samahani ni kitu ambacho hakiwezekani na hakipo
Ila kuwa kwao na tabia hizo sio kwamba kabila zima linakuwa na mambo hayo
Kila mmoja kwenye kabila fulani ana behaviour yake ambayo ni tofauti na wengine na hatuwezi kugeneralize kuwa wote wako the same kutokana na mmoja wao kwenda against wenzake
:lol::lol::lol:
Utasonyajeeeeeeee!!!!Utajibeba, ukishindwa jicarry.
rocky ninakubali sawa ila kwa kua wengi wao wako hivyo huoni kama kwa namna hii tutasaidia wengi...?
baaasi jamani mnataka kupigana..! nyie yangewakuta kama yaliyo nikuta mngekua na simile nyie..? hapa sidhani..!
driller slow down hatugombani baana tunajuana vizuri na Lizzyfinest..! act fine baaasi..! yaishe jamani hivi yangewakuta yaliyo nikuta mngeweza kuvumilia kweli jamaniiiiiiiiiiiii......!!!!! heeee!...!
mimi hua nawaona kama ni watu ambao wanajitahidi sana kuonesha ustaarabu ila huyu alipoteza hiyo kitu..! akaonyesha kua yeye ni mbovu tu..!
Kongosho yamekuwa hayo tena
Duh ngoja nihame kijiwe hiki cha Drillers