watu wengine sijui wakoje.. tabia hizi si nzuri jamani...

Umeona eeh, unashinda kwenye kitu 24hrs afu shimo lisipinde afu unaenda mita 500, ushakula na nyasi yako afu ukutane na mrembo anakumwagia maharagwe, ni kumbusu tu.

Nadhani jamaa alikudharau akajua huwezi kumfanya kitu, kwanza hakuomba samahani na pili akarudi kukaa meza hiyo hiyo uliyopo kwa jinsi asivyokuogopa!

Pole sana driller, nadhani utakuwa unachimba RC wewe sidhani kama diamond drilling unaiweza!
 
karibu tupoooh..!

Undeedit post yako mkuu ukaondoa hiyo ya kuwasema wahaya
maana kutaja kabila inaondoa ile ladha ya watu kuchangia maana sio wahaya wote wana the same character wako ambao ni wastaraabu ambao wako tayari kusema samahani
So generalization uliyotumia sio nzuri sana
Samahani kwa kusema haya
 
are u a driler for real?
Meeen, driller wa ukweli wala asingefikiria mara mbili kurusha ngumi whether ni solution ama vip

unanipandisha mzuka, natamani ninunua hiyo kesi

I love drillers language, its man to man no woman to woman.

now i get the feelings kua kweli jamaa alinidharau..! daaah..! ila kutupa mkono ingekua ni sltn pale kweli..!?
 
Undeedit post yako mkuu ukaondoa hiyo ya kuwasema wahaya
maana kutaja kabila inaondoa ile ladha ya watu kuchangia maana sio wahaya wote wana the same character wako ambao ni wastaraabu ambao wako tayari kusema samahani
So generalization uliyotumia sio nzuri sana
Samahani kwa kusema haya

ninakubali kabisaa mzee kua wapo..! hata mimi nina marafiki wengi tu wahaya ila jinsi ninavyo wachukulia jamaa na kitu jamaa alichonifanyia kwakweli yani imeniuma sana yani..! inaonekana mchizi hajui nini maana ya ustaarabu na wakati wenzake wengi hua wanajitahidi sana kuuonyesha ustaarabu wao ndio maana nikaonyesha kushangazwa kwangu kua jamaa tena ni mhaya yani..!
 
Mwanzo wa maelezo yaku umetualert kwamba jamaa ni 'mhaya', lakini mpaka unamaliza maelezo yako haujaweka mahusiano ya hicho kitendo alicokufanyia na uhaya wake.
1.Je, una tatizo na wahaya?
2.Je, wahaya wana tabia ya kumwagia mwagia watu maharage na kuwajibu mbofu mbofu?
Kwa kifupi Sijakusoma.
 
are u a driler for real?
Meeen, driller wa ukweli wala asingefikiria mara mbili kurusha ngumi whether ni solution ama vip

unanipandisha mzuka, natamani ninunua hiyo kesi

I love drillers language, its man to man no woman to woman.

kongosho mi wa ukweli ila sometimes nina kuaga na consideration ninapokua na jamii..!
 
Mwanzo wa maelezo yaku umetualert kwamba jamaa ni 'mhaya', lakini mpaka unamaliza maelezo yako haujaweka mahusiano ya hicho kitendo alicokufanyia na uhaya wake.
1.Je, una tatizo na wahaya?
2.Je, wahaya wana tabia ya kumwagia mwagia watu maharage na kuwajibu mbofu mbofu?
Kwa kifupi Sijakusoma.

subiri kidooogo utanisoma mda sio mrefu nakuja sasa hivi!...!
 
Tarime mpakani na Kenya.

utaskia tu, nkugecha, unashangaa kiwiliwili kiko pembeni

teh teh teh teh hahaaaa...! kweli jamaa kule hua hawapotezi muda ni kutoa kitu na kutia kitu..! wakina MARWA...! au vipi..!! hahaaa asee kama ni hao pangechimbika mbaya yani..!
 
Sa wahaya wameingiaje apo mkuu!!,,
Tabia hiyo ni ya malezi zaidi na sio kabila.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom