haya bwana umeshinda..!
Hivi TF na Lizzy wanafanya nini mbona wamekaa kimya hivi aise
Usikute wameenda ile nyumba inaitwa guest house
haya bwana umeshinda..!
hahaaaa jamaa hapa kakutwa na kadhia kama niliyokutwa nayo...! katemewa mate na mama mjamzito sasa hili.. sijui unachukulia kwamba huyu mama anaumwa au vipi..!
Hivi TF na Lizzy wanafanya nini mbona wamekaa kimya hivi aise
Usikute wameenda ile nyumba inaitwa guest house
na za siku hizi sio nyumba za wageni tena ni nyumba za wenyeji....! hawa watakua wamehamisha bifu kwenye kijiwe kingine tu hawa..!
maza hakuomba hata samahani unaambiwa..! yani ni nnoma jamaa kidogo apachimbe..! kucheki tumbo unaambiwa akasizi kama nini sijui..!
hahahahaha lazima awe mpole na bora alivyokuwa mpole maana angeshangaa anavurumishiwa matusi ambayo yangemjazia watu bure
Wale wana tabia zao na kama mkuu una wife utagundua haya mambo
dah mwanangu ni nnomaa...! ni noma yani..! kuna maza mmoja yani ilikua ni balaa nilikua mwanza bugando..! aseee maza alikua anashusha madini....! khaaaa!.. mpaka wakawa wanasema yani mtoto atakae zaliwa asipokua ana camerooniwa basi atakua anatumika kote kote kama madem wa naniiiiii...! yani daaah ilikua ni soo mtu mzima mpaka nikasema kama mama mkwe ndio yupo hapa unaweza ukakimbia kwenda kuziba mtu mdomo yani manake ilikua ni balaaa mzazi
ila kuna wengine wanayatumia matumbo yao kufanya mambo ya ajabu yani anaweza kuongea kitu chochote kisa ni tumbo tu.... mimi iko siku nitapachimba we ngoja tu.....! driller ndo mimi na niko na equipments zangu we ngoja tuNishakutana na mmoja asubuhi ya saa moja anakula ndizi yake kubwa mbivu barabarani na yuko smart mbaya
Nilikuwa na wife akasema duh wanawake wana kazi yaani hana hata wasi wasi
So huyo jamaa alifanya jambo la busara sana kunyamaza kimya na kukwepa kumwambia lolote
Unatusingizia banaQUOTE=kongosho;2931907]@driller and Mr. rocky
mnajaribu kufanya nini na hizo story za wabeba lawama camp?
[/QUOTE]Ntakunyang'anya maria
Wacha fujo bana
Unatusingizia bana
Hatuko huko kabisa
Driller ndo naona kaleta mambo zake za ajabu hapa u