Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,484
Kheee. . . aone movie kwani amelipia?Hebu funga hilo dirisha kabisa
Kheee. . . aone movie kwani amelipia?Hebu funga hilo dirisha kabisa
aah wapi ndio tunawakuza kwenye mazoezi na misosi..! sasa wewe utapata alsurs na sijui utaziweka wapi..!
Alafu ukaendelea kukodoa macho sababu?
Kheee. . . aone movie kwani amelipia?
Huyu anadrill sasa sijui anadrill nini kwenye udoctor wake
Hafanani kabisa na doctor na huyu atakuwa engineer tuu
asee mimi sio doctor bwana..! madoctor wala hawaruhusiwi hata kuigusa ile mashine wakati wa operations zao..! kitu wanachofanya ni kuunganisha mapipes kwenye ma attery na ma vains tu..! wala hata sio kujua kwamba kuna bubble kwenye pipes na si ndio maana watu huwa wanakufa kwa uzembe tu..!? aah udaktari siuwezi jamani..!
hahaaaa..! robo sahani yani kwangu ni unanitania vibaya sanaaaaaaa yani ninarudia tena sanaaaa..!
Engineer kwenye kazi
Haya wazee wa manguvu na fujo
Mlisoma fani ambazo hata wanawake wanazikimbia halafu wanawake wenu walikuwa wagumu haswa
Angalia tuu hicho kitambi kinavyoshuka
Usije ukashindwa kufanya mambo yetu yaleee
walizikimbia lakini siku hizi wanazikimbilia..! wee unafanya utani na ugumu wa maisha nini..? maisha hayadanganyi..! ni magumu..!
weweeee mambo ninapiga kama vile sina mabrain..! halafu kitambi mbona ni kama kina accelerate yale mambo..? au mimi ninaona kitu ambacho watu wengine hawaoniii nini..? ila asee hivi mbona mahakamani siku hizi mnakula rushwa kuliko kawaida..? yani siku hizi bora traffic police asee kuliko mahakamani ambako ndio haki ilitakiwa iwepo asseeee daaah...!!!!
kila sehemu imeoza ila mahakamani pameanza kunuka sasa..! manake yani nyie jamaaa aaah siku hizi hakuna haki..!Hata wewe nikija kwako nahitaji kufanya kazi fulani au nahitaji tuu hata kupata kibali cha ujenzi hunipi bila kukupa kitu cha kutafuta file langu liko wapi
Aemeni tuu mnatuonea maana sisi sio wabishi na hatutumii nguvu kubishana
Ila ukweli halisi kila sehemu imeoza
kila sehemu imeoza ila mahakamani pameanza kunuka sasa..! manake yani nyie jamaaa aaah siku hizi hakuna haki..!
aaah wapi mbona mna wrong concepts bot engineering jamani..! hakuna fani nzuri kama hii yani..! tena jinsi technology inavyokwenda yani ndio inazidi kua rahisi..! sasa hivi kuna trouble shooting softwares nyingi tu..! ambazo wala mtu hutumii nguvu wala akili nyingi kwenda kwenye tatizo...! ambapo hata siku moja hakuta kua na software ambayo ina weza kumtetea mtu alie fanya kosa yani...! inamaana siku zote itabidi msimame ili mfanye kazi ya kuhubiri mahakamani ujumbe usiookoa..!Hahahahah haya bana
Ila kazi zenu ngumu sana bana
Duh minguvu kila sehem
Inaelekea hata majumbani mwenu ni the same
aaah wapi mbona mna wrong concepts bot engineering jamani..! hakuna fani nzuri kama hii yani..! tena jinsi technology inavyokwenda yani ndio inazidi kua rahisi..! sasa hivi kuna trouble shooting softwares nyingi tu..! ambazo wala mtu hutumii nguvu wala akili nyingi kwenda kwenye tatizo...! ambapo hata siku moja hakuta kua na software ambayo ina weza kumtetea mtu alie fanya kosa yani...! inamaana siku zote itabidi msimame ili mfanye kazi ya kuhubiri mahakamani ujumbe usiookoa..!
and you guys are so close to death more than a doctor who works with a patient having HIV