Watu wengi hawana uelewa kuhusu UKIMWI

Nop ,maambukizi ya ukimwi hayategemei Mchubuko kama key factor Shida ni kugusa fluids
sijajua elimu yako imekusaidia nini! wewe ukipewa uraisi unaweza uwa watu kwa vitu vya kusadikika visivyo na studies! Ingekua hivo watanzania 70% tungekua tumeumia! Ni msomi usiye elewa mambo
 
Habari za usiku wanajamii Forums!

Actually Mimi ni mwanafunzi kwenye Field hizi za science kuna kitu Kinaniumiza Moyo Kuwa watu wengi Hawajui kuhusu Ukimwi.

Wengi wanazani Mtu Anapata ukimwi Pale ambapo Akimchubua Muathirika Wakati Anafanya naye Mapenzi, kihivi wengi wanaamini mtu akifanya mapenzi na Muathirika wa ukimwi Taratibu Bila Kuingiza kwa nguvu (bila msuguano mkali)Basi hawez kupata ukimwi .SIO UKWELI

Jamani Virusi vya ukimwi vinakaa kwenye ute ute wa mwanamke(Vaginal fluids) kwa maana hyo Mwanaume akifanya mapenzi na mwanamke ambaye Ameathirika huo ute ute unapita Kwnye Mfereji wa mwanaume (male urethra) unaingia Then itapelekea na yeye kupata Ukimwi hata kama hakuna mchubuko Wowote.Hii kitu Watu wanachukulia poa sana.

Sio kwamba hukifanya polepole bila kumchubua ndo Hutapata ukimwi ni kwamba uliefanya naye hakuwa na Ukimwi.

Kama anaukimwi na ni ukweli hujapata baada ya kupima its Happens japo mara chache sana vipokezi (receptors )za ukimwi ziitwazo CCR5 zimepata mabadiliko (mutation) hivyo zinashindwa kusababisha ugonjwa ambapo hata ufanye mapenzi Na watu kumi wenye maradhi kwa pamoja Huwezi Kupata ukimwi, na watu ambao mabadiliko hayo uwapata ni asilimia kidogo ya watu kwa dunia nzima.

KUWA MAKINI UKIMWI NI MBAYA !!PITA WODI ZA WAGONJWA WA UKIMWI UTAELEWA. CHEZA SALAMA. USE PROTECTIONS

Maestro de Quimica !!OP
View attachment 2162314
Kwa kuanzia tunaomba utuonyeshe picha ya huyo kirusi anayekaa kwenye Ute ute
 
Ndo maana tukasema Kuna case chache mtu anaweza akashindwa kupata Ukimwi kulingana na mabadiliko ya vipokezi Vyake vya ukimwi kubadilika
TENA huo mfano wa Kwanza wa pili nina Rafiki yangu Dokta wa wanyama sijui ndo mnaita mifugo anaishi Airport Hapo alipata mrembo kwenye shughuli zake za udaktari siunajua wanawake wanapenda kufugwa vile vijibwa km midoli vile vya urembo wanaitaga mbwa wala uchi.

Dokta akampata huyo mrembo siunajua wanachomwa sindano wale mbwa special care Sjui ndo kila mwezi akapata huyo demu Kwa njia hiyo kumbe demu kaungua akienda kumpa huduma mbwa nayy anapewa huduma ya papuchi namwenye mbwa mwenyewe anasema wateja wengine wazuri aisee unatoa huduma unalipwa than unapewa na shukran ya papuchi

Kuna siku wakati anatoka kwake akasikia story za huyo mrembo yakwamba kaungua kitaa. Jamaa alichanganyikiwa Maana anamke nawatoto Ila nilimtuliza sana nikamwambia unaanzaje kufikiria mabaya kwamkeo na watoto wako mchukue mkapime usikute watu wanaongea uongo tu wanamzushia.

Alimchukua kwanjia ya siasa mpaka kufika hospital kwenda kupima huyo demu analia anajua kishawaka matokeo kutoka Jamaa Hana kitu Ila demu muathirika kweli na ashamnyandua miezi sita akienda kutibu mbwa anapewa na mbususu. Alitaka kumshtaki nikamzuia nikamwambia ww ndo ushtakiwe maana ulikuwa unalipwa ujira mara 2 malipo ya huduma ya mbwa na huduma ya mbususu ukajiona unapendwa mwenyewe.
 
Vipi Kuna mahusiano gani Kati ya mkanda wa jeshi na ukimwi?

Mtu aliyeunvus mkanda wa jeshi Kuna possiblity ya kuwa na ukimwi pia?

Kuna binti nilimgonga haikupita wiki akaungua huo mkanda raia wakazusha anao nilitetemeka Kama panya aliyeenda kwenye wavu mdogo hata kupima dijapima mpaka Leo mwaka ushakatika na dalili za kuungua Hilo gonjwa Sina ila sijiamini amini.
 
Kapime mkuu unahofu Yann sasa mkanda wa jeshi ni dalili moja wapo mkuu yakuwa huenda ameungua.
 
Njia za kwenda kwa mungu ni nyingi sana.
sio ukimwi tu
Acha Nile raha
Basi tafuta mmoja mpime akikisha ni mzma Uishi Nae ,unaweza sema hvyo Halafu ukaupata ukimwi na Usife Mapema ,then Kuja kutafuta mwanamke kama ni mwanaume ambaye atakubali kuishi na ww na una ukimwi Sahau Au utapata kwa tabu sana
 
Nauliza wakuu ? Hivi ni kweli kuna dawa ya ukimwi ambayo ina 99.9% ya uponyaji/ kumpa mgonjwa nafuu huko... nchi za mbele, nchi za ulaya..
 
Habari za usiku wanajamii Forums!

Actually Mimi ni mwanafunzi kwenye Field hizi za science kuna kitu Kinaniumiza Moyo Kuwa watu wengi Hawajui kuhusu Ukimwi.

Wengi wanazani Mtu Anapata ukimwi Pale ambapo Akimchubua Muathirika Wakati Anafanya naye Mapenzi, kihivi wengi wanaamini mtu akifanya mapenzi na Muathirika wa ukimwi Taratibu Bila Kuingiza kwa nguvu (bila msuguano mkali)Basi hawez kupata ukimwi .SIO UKWELI

Jamani Virusi vya ukimwi vinakaa kwenye ute ute wa mwanamke(Vaginal fluids) kwa maana hyo Mwanaume akifanya mapenzi na mwanamke ambaye Ameathirika huo ute ute unapita Kwnye Mfereji wa mwanaume (male urethra) unaingia Then itapelekea na yeye kupata Ukimwi hata kama hakuna mchubuko Wowote.Hii kitu Watu wanachukulia poa sana.

Sio kwamba hukifanya polepole bila kumchubua ndo Hutapata ukimwi ni kwamba uliefanya naye hakuwa na Ukimwi.

Kama anaukimwi na ni ukweli hujapata baada ya kupima its Happens japo mara chache sana vipokezi (receptors )za ukimwi ziitwazo CCR5 zimepata mabadiliko (mutation) hivyo zinashindwa kusababisha ugonjwa ambapo hata ufanye mapenzi Na watu kumi wenye maradhi kwa pamoja Huwezi Kupata ukimwi, na watu ambao mabadiliko hayo uwapata ni asilimia kidogo ya watu kwa dunia nzima.

KUWA MAKINI UKIMWI NI MBAYA !!PITA WODI ZA WAGONJWA WA UKIMWI UTAELEWA. CHEZA SALAMA. USE PROTECTIONS

Maestro de Quimica !!OP
View attachment 2162314
Warning...
 
Kama ukimwi ungekuwa unaambukizwa kwa kujamiiana nadhani Leo kusingekuwa na binadamu juu ya aridhi.

Fikiria je umewahi kusikia habari za ukimwi Uingereza,Marekani,ujerumani nk nk.

Hii ni biashara ya wazungu na walichagua kusini mwa jangwa la sahara.(Afrika).
Victims wa HIV wapo hadi ulaya ndugu soma statistics za CDC na WHO
 
Habari za usiku wanajamii Forums!

Actually Mimi ni mwanafunzi kwenye Field hizi za science kuna kitu Kinaniumiza Moyo Kuwa watu wengi Hawajui kuhusu Ukimwi.

Wengi wanazani Mtu Anapata ukimwi Pale ambapo Akimchubua Muathirika Wakati Anafanya naye Mapenzi, kihivi wengi wanaamini mtu akifanya mapenzi na Muathirika wa ukimwi Taratibu Bila Kuingiza kwa nguvu (bila msuguano mkali)Basi hawez kupata ukimwi .SIO UKWELI

Jamani Virusi vya ukimwi vinakaa kwenye ute ute wa mwanamke(Vaginal fluids) kwa maana hyo Mwanaume akifanya mapenzi na mwanamke ambaye Ameathirika huo ute ute unapita Kwnye Mfereji wa mwanaume (male urethra) unaingia Then itapelekea na yeye kupata Ukimwi hata kama hakuna mchubuko Wowote.Hii kitu Watu wanachukulia poa sana.

Sio kwamba hukifanya polepole bila kumchubua ndo Hutapata ukimwi ni kwamba uliefanya naye hakuwa na Ukimwi.

Kama anaukimwi na ni ukweli hujapata baada ya kupima its Happens japo mara chache sana vipokezi (receptors )za ukimwi ziitwazo CCR5 zimepata mabadiliko (mutation) hivyo zinashindwa kusababisha ugonjwa ambapo hata ufanye mapenzi Na watu kumi wenye maradhi kwa pamoja Huwezi Kupata ukimwi, na watu ambao mabadiliko hayo uwapata ni asilimia kidogo ya watu kwa dunia nzima.

KUWA MAKINI UKIMWI NI MBAYA !!PITA WODI ZA WAGONJWA WA UKIMWI UTAELEWA. CHEZA SALAMA. USE PROTECTIONS

Maestro de Quimica !!OP
View attachment 2162314
Hivi kumbe huwa zipo wodi za wagonjwa wa ukimwi?
 
Back
Top Bottom