ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,014
- 40,175
- Thread starter
- #81
Nipo makini mnoo💯Umetisha sana ujue😂😂
Nipo makini mnoo💯Umetisha sana ujue😂😂
Okay keep goingKwenda zako mwana hidaya wewe, who the heck do you think you are? 😂 Mimi napenda kuku challenge ego yako hiyoo
Hapana huwa unanichkulia tofauti sana. I'm not that kinda person... Behind maneno yangu huwa kuna honesty ya hali ya juu. I want the best in peopleFuraha yako ni kukera wengine then unaita challenge?
Daah aisee 😂😂Leo tu nimemjibu hua nampuuza
Na hata sihangaiki na upuuzi wake
Ni kama agent wa shetani
Hivi huwa unahisi mm ni mtu wa aina gani hebu tuanzie hapo😂Okay keep going
OkayHapana huwa unanichkulia tofauti sana. I'm not that kinda person... Behind maneno yangu huwa kuna honesty ya hali ya juu. I want the best in people
Jikite kwenye mada itapendezaHivi huwa unahisi mm ni mtu wa aina gani hebu tuanzie hapo😂
OkayJikite kwenye mada itapendeza
quality over quantity ✔️Kila mtu na mapenzi yake. Kwangu ni quality over quantity
Karibu uweke na maoni yakoMada nzuri sana...! ShesRise_1
Bora unitetee ndugu yangu!Wacha kumpakazia binti kiziwi ufanano na watu wabaya😂
ila wasiwe wanafk kuliko kua na marafiki 100 fake..¤.Karibu uweke na maoni yako
Safiiiii 🔥yeah napenda mtu anaenikubali asiwe mnafki bora wawe hata wa5ila wasiwe wanafk kuliko kua na marafiki 100 fake..¤.
Am so considerate kwako si unajua intentions zangu kwako?Bora unitetee ndugu yangu!
Haujakoma ntakuitia mods 😂Am so considerate kwako si unajua intentions zangu kwako?
Hahahaha kuwa na intentions kwako ni kosa la kupigwa ban?Haujakoma ntakuitia mods 😂