ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 16,993
- 40,149
- Thread starter
- #61
Una hoja maisha sio kisiwa sometimes tunaotaji watuBinafsi mimi ninapenda kuwa na circle ndogo ya genuine people ila sometimes nimegundua maisha hayako hivyo.
Hautapatana na kila mtu, na pia hata anayekufanyia hiyana pia anakupa funzo maishani...
Tujifunze unconditional love. Simaanishi kukubali ana na kila mtu, bali kujua mtu anakuja akiwa na demages zipo
Unabaki uchaguzi lundo la wengi hopeless au wachache genuine