Maana unaweza kusema, "Ninakubalika." Sawa, lakini unakubalika na akina nani?
Ni watu wa aina gani wanaokukubali?
Kwa sababu si kila anayekukubali anaelewa hata maana ya kukukubali.
Wengine wanakufuata kwa mazoea, wengine kwa mihemko, na wengine kwa sababu hawajui hata lipi ni sahihi na lipi...