msikonge
Senior Member
- Aug 4, 2010
- 151
- 8
nyie bado hamjajua nini maana ya ndoa watu wengi wanaingia kwenye ndoa wakiwa nalengo si mapenzi ndio maana inakua ishu kudumu kwenye ndoa
Inabidi tuende kwenye chimbuko la kwa nini wanandoa wavae pete, maana hiyo ni ishara ya uaminifu kwa mwenza wako japo kuwa wengine huamua kuzivua wanapotaka kujiiba nje!