Watu wazima wengi hawana pete za ndoa

nyie bado hamjajua nini maana ya ndoa watu wengi wanaingia kwenye ndoa wakiwa nalengo si mapenzi ndio maana inakua ishu kudumu kwenye ndoa

Inabidi tuende kwenye chimbuko la kwa nini wanandoa wavae pete, maana hiyo ni ishara ya uaminifu kwa mwenza wako japo kuwa wengine huamua kuzivua wanapotaka kujiiba nje!
 
I think wako perffect coz Upendo wa kweli unatoka moyoni!! So that Ring its Nothing katika true love, Mbona wapo wenye pete za ndoa afu ndio wa kwanza kusaliti ndoa zao?
 
itakua fresh siku ukimwona mmoja jaribu kusema nae akupe data kamili zen uje utuambia na sie,but mi nafikiri ukivaa au usivae chamsingi moyo wako umeivaa hiyo pete na meaning yake?au unavaa kama fashion tu?
 
mkuu hata we unaweza kumuuliza yeyote hapo jirani then utuambie kasema nini
 
utakuta wamepoteza ,wamenenepa ama wamekonda pete haziwatoshi..pia umri nao unawaza watoto ,wajukuu hekima za kutatua ndoa za wanao na wajukuu ..swala la pete linakuwa tabu
na mambo mengine mengi
 
utakuta wamepoteza ,wamenenepa ama wamekonda pete haziwatoshi..pia umri nao unawaza watoto ,wajukuu hekima za kutatua ndoa za wanao na wajukuu ..swala la pete linakuwa tabu
na mambo mengine mengi

huwa wanazipiga bei pia
 
It was the ancient Egyptian who established the custom of placing a ring on the finger of his wife, as a sign that he had confidence in her ability to care for his house. The Greek and Roman bridegroom often gave a ring to the bride's father-a practice that was probably a survival of primitive bride purchase. In the second century B. C., the Roman bride was presented with a gold ring. But this she wore only in public. Such a ring was much too precious to wear while tending to household duties; and so the groom gave the bride a second ring - for use in the home - which was usually made of iron and had little knobs in the form of a key. Of course, these "key" rings were weak and could open only those locks requiring very little force to turn, but their significance, in that the wearer had the right to seal up the giver's possessions, was strong.

From: Origins of the wedding ring
 
Si sheria kuvaa pete. hata katika Ukristo.

Mkuu una evidence kwamba hata katika ukristo kuvaa pete kwa wanandoa si utaratibu?

Vipi kuhusu pale mchungaji anaposema ".....na pete hii iwe ishara......."
 
Mkuu una evidence kwamba hata katika ukristo kuvaa pete kwa wanandoa si utaratibu?

Vipi kuhusu pale mchungaji anaposema ".....na pete hii iwe ishara......."
Ili hiwe sheria inatakiwa iwepo kwenye Biblia au hiwe imefafanuliwa kwenye catechism!
 
Back
Top Bottom