Watu wazima , kuanzia 58 yrs Nawazoom!

Watu wazima , kuanzia 58 yrs Nawazoom!

Tunazungumzia ID fake, unaweza pia kukuta muhusika ni dada yako.

Jamii yetu haidhalishi wanawake wa hovyo kama hao. Kwetu upo utaratibu maalum kwa hawa ndugu zetu wakike.

Huwezi kuta mwanamke mjinga kama huyu awe anasurvive tuu hata kama ni dadaangu. Ndio maana ninauhakika hawezi kuwa dadaangu.
 
Kuna Mwana apolo anaulizia ikiwa atahitaji bj na mtandao pendwa tu, upo tayari?
 
Mama yangu ni marehemu kwa sasa..na ameishi na mzee adi kufa kwake na alikuwa akifungiwa ndani...haiwezi kutokea iyo

Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa nimejua nini tatizo lako. Wadada wa dizaini yako mara nyingi ndio mnakumbwa na matatizo kama hayo. Kwa ujumla hujui thamani yako ndio maana unafanya hayo.

laiti ungejua thamani yako huenda hata usingethubu kufikiria mambo ya kipuuzi kama hayo.

Jaribu kuthamini thamani yako ili uheshimiwe hata na Mungu na si kufanya upuuzi. Yaani ufanye uzinzi hata na waume za watu kisa tamaa zako.

Hata hivyo nitakuwa nakosea kama sitawalaumu waliokulea.

Wito wangu kwako ni kuwa tambua wewe unathamani sana itunze thamani yako na hutojuta. Omba Mungu akuletee Mume wa hadhi yako. Awe na pesa asiwe nazo ishi naye. Then you will know the purpose of life.
 
Hamujambo wanajf!
Nielekee kwenye point direkiti.

Wanaume mwenye age kuanzia 58 yrs kwenda juu.

Anayejiweza na mwenye uchu wa maendeleo ili tuweze kusaportiana ktk kutengeneza pesa zaidi.kibopa mwenye pesa zake ,

Mwenye kupenda kujiachia kias ili tuweze kula raha baada ya kazii,mcha mungu kiasi.

Awe na mke au asiwenaye bali tuwe na privacy yetu bila kumvunjia ndoa yke..

Anidekeze nami nimdekeze

Ajue kulea na kuhudumia sitaki bahiri ..na anisaport mtaji katika busness plan zangu

Huduma nitakazompatia cku zote ni kama

Ntakuwa liwazo na tulizo la moyo wake mda atakaonihitaji..

Ntammassage kuanzia kichwan hadi miguu na mikono yng lain

Ntampa mambo matamu yte ya dunia hii hadi akinai hasa ya chumbani,

Ntamfanya afurahi muda wote

Ill be around whenever he need me ..ntakuwepo muda wote atakaonihitaji

Akiwa na muda ningependa tusafiri ata nje ya nchi kwamambo mbalimbali

Kama yupo mkoa nipo tayari kumtembelea mara kwa mara

La mwisho mm ni ke 29 - 32yrs
Mwenye kababy face kazuri kenye aibu za kutosha, mpole usoni ila chumban sina upele

Vijana mtanisamehe sana sina nafasi kwenu na sitajisumbua nanyi

Nahitaji wazee tu..

Matusi sitaki katika uzi wangu.

NAKARIBISHA PM KWA BABAZ 58YRS UPWARD..ata ukija na fekero account sawa ila ukidhi mahitaji na vigezo

Sent using Jamii Forums mobile app
Vijana wenzako wana nini mpaka utake vizee, nyie ndiyo wachawi wenyewe nyie mkiona mzee kachukua mafao yake mnaua na kuzika bila jeneza, dhambi zitawatafuna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njaa ya jiwe imempoteza uelekeo huyu mtu.

Back
Top Bottom