Watu wazima , kuanzia 58 yrs Nawazoom!

Watu wazima , kuanzia 58 yrs Nawazoom!

[emoji23][emoji23][emoji23]mimi leo nacheka tu jaman[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....hahaahaaa...ss mamy nikushauri kitu...km huna biashara tafta biashara kwanza uisimamie vzrur hyo mzee akikukuta una kabiashara huwa wanapenda sana..hapo hapo ataingiza miguu na mikono kukusaport..!uwe unampa na ideas za kufanya...yaan uwe na hekima za ghafla[emoji23][emoji23]
Vipi wewe unapenda vijana au wazee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ufukara wa mali na fikra pia ndiyo vinamsumbua huyu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama upo na umri kama wangu nilioorodhesha hapo...naomba uje pm tukutane tuonyeshane nyaraka na id zinazoonyesha mali ninazomiliki na ww utoe zako, japo mm bado kijana..
.
Kama ww ni mzew basi siwez shindana na wewe maana ushatumia muda wako mwng kutafuta.

Kama ni age yango njoo pm alafu tumeet ujue kati yangu na yako nani ni fukara nyambafuui

PESA HAIPIGI KELELE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hana ideas zozote huyo!
[emoji23][emoji23][emoji23]mimi leo nacheka tu jaman[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....hahaahaaa...ss mamy nikushauri kitu...km huna biashara tafta biashara kwanza uisimamie vzrur hyo mzee akikukuta una kabiashara huwa wanapenda sana..hapo hapo ataingiza miguu na mikono kukusaport..!uwe unampa na ideas za kufanya...yaan uwe na hekima za ghafla[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama upo na umri kama wangu nilioorodhesha hapo...naomba uje pm tukutane tuonyeshane nyaraka na id zinazoonyesha mali ninazomiliki na ww utoe zako, japo mm bado kijana..
.
Kama ww ni mzew basi siwez shindana na wewe maana ushatumia muda wako mwng kutafuta.

Kama ni age yango njoo pm alafu tumeet ujue kati yangu na yako nani ni fukara nyambafuui

PESA HAIPIGI KELELE

Sent using Jamii Forums mobile app

😂😂😂😂😂😂😂😂shikamoo mamýto
 
😂😂😂mimi leo nacheka tu jaman😂😂😂😂....hahaahaaa...ss mamy nikushauri kitu...km huna biashara tafta biashara kwanza uisimamie vzrur hyo mzee akikukuta una kabiashara huwa wanapenda sana..hapo hapo ataingiza miguu na mikono kukusaport..!uwe unampa na ideas za kufanya...yaan uwe na hekima za ghafla😂😂

Huyu dada kinachomsumbua ni Umasikini tuu hana cha ziada. Hakuna mwanamke mwenye elimu nzuri na kazi yenye kumuingizia angalau laki saba kwa mwezi akafikiria jambo kama hili.

Huyu ni kama wale vijana wanaotaka wamama kutokana na umasikini wao.

Wazee wajitokeze wamsaidie tuu
 
Biashara! Wewe unaleta utani.

Akili za kutegemea mwanaume zitaweza biashara yoyote kweli!
 
Hahahaa huna lolote wewe uza kitumbua barabarani usiku watu wapoze stress! Ukiona mwanamke anajisifu maumbile jua huyo malaya kama Id yako ya Nanabooty! unasifu matako yanayokuingizia kipato.
Kama upo na umri kama wangu nilioorodhesha hapo...naomba uje pm tukutane tuonyeshane nyaraka na id zinazoonyesha mali ninazomiliki na ww utoe zako, japo mm bado kijana..
.
Kama ww ni mzew basi siwez shindana na wewe maana ushatumia muda wako mwng kutafuta.

Kama ni age yango njoo pm alafu tumeet ujue kati yangu na yako nani ni fukara nyambafuui

PESA HAIPIGI KELELE

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu dada kinachomsumbua ni Umasikini tuu hana cha ziada. Hakuna mwanamke mwenye elimu nzuri na kazi yenye kumuingizia angalau laki saba kwa mwezi akafikiria jambo kama hili.

Huyu ni kama wale vijana wanaotaka wamama kutokana na umasikini wao.

Wazee wajitokeze wamsaidie tuu
Unamatatixo wew

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani vijana mna makelele kwenye huu uzi..

Nlitegemea wazee ndo wapige kelele..

Vijana naomba mkakojoe mlale plz

Huu uzi ni special kwa mambabii umri uliokwenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom