Watu wazima , kuanzia 58 yrs Nawazoom!

Watu wazima , kuanzia 58 yrs Nawazoom!

Mbona wapo wengi tu...wew tu huwaoni..ninauhakika na ninachokifanya sijadanganywa..atakayeleta wendawazmu na m namletea wendawazmu...nafkr kla mty yupo huru kupost atakacho ndo mana likawekwa jukwaa mahusiano...

Kuhusu kujitambua usijidanganye mwanaume ata ajitambue vip lazma ahitaji sex..ndo mana waume wanatoka ata nje ya ndoa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mhu siongezi lolote. Good luck. Asprini upo?
 
Laana Hiyo, Kimbia ,uiponye Nafsi. Hao Ni Baba Zako! ,,,, Mungu Muone Mja Wako, Ooh!
 
Weka picha ya tela wazee tuingie mazima! By the way unaweza kumiliki hadi wazee wangapi kwa wakati mmoja!
 
Kwanza ukapime Afya yako kuona huna magonjwa ya kuambukiza.......Pili pesa zangu unazitakia nini......??? mimi nilifikiri tukikutana kila Mtu atumie zake........au tuchangie 50 by 50 vinginevyo huo ni utapeli, Mtego, umalaya na Tamaa mtoto mdogo unataka uwaibie wazee..........na pesa wakiishiwa si utawakimbia wewe...........!!!!
 
Halafu ukute huyu ni mwanaume anataka kutapeli tu wazee..hii dunia we acha tu.
 
Hatima ipi unayoizungumzia? Si kila mtu amendikiwa ndoa kipenzi..
Ata kwenye vitabu wapo baadhi ya watu hawana ndoa.
But nashukur nina mtoto so inatosha na nafikir nitakuwa na watoto zaid

Wangap wapo katka ndoa lakin moto wake they wish to be cngle and free.. Hawana amani kabsa!

Au hatima unayozungumzia ww n ipi

Maisha mafupi jitaid kufurahi kadiri uwezavyo bila kumridhisha mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
manengelo anacheeekaaa...!YOLO BABE
 
Mimi tangu nazaliwa ata stds sizijui! Mind u sijawai kujiuza...uko ulipo uje ata muda huu kuhusu kupima kama hujakimbia majibu yako ww ..mm ukanikuta mzima..

Pili ata wew uyo uliyekuwa naye huenda anakuletea maradhi,so ucwaseme vibaya ambao hawapo vizur kiafya hujhavuka mto wew
.nyambafu
Kwanza ukapime Afya yako kuona huna magonjwa ya kuambukiza.......Pili pesa zangu unazitakia nini......??? mimi nilifikiri tukikutana kila Mtu atumie zake........au tuchangie 50 by 50 vinginevyo huo ni utapeli, Mtego, umalaya na Tamaa mtoto mdogo unataka uwaibie wazee..........na pesa wakiishiwa si utawakimbia wewe...........!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom