atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,552
- 9,814
0.5mm IPO express your selfHamujambo wanajf!
Nielekee kwenye point direkiti.
Wanaume mwenye age kuanzia 58 yrs kwenda juu.
Anayejiweza na mwenye uchu wa maendeleo ili tuweze kusaportiana ktk kutengeneza pesa zaidi.kibopa mwenye pesa zake ,
Mwenye kupenda kujiachia kias ili tuweze kula raha baada ya kazii,mcha mungu kiasi.
Awe na mke au asiwenaye bali tuwe na privacy yetu bila kumvunjia ndoa yke..
Anidekeze nami nimdekeze
Ajue kulea na kuhudumia sitaki bahiri ..na anisaport mtaji katika busness plan zangu
Huduma nitakazompatia cku zote ni kama
Ntakuwa liwazo na tulizo la moyo wake mda atakaonihitaji..
Ntammassage kuanzia kichwan hadi miguu na mikono yng lain
Ntampa mambo matamu yte ya dunia hii hadi akinai hasa ya chumbani,
Ntamfanya afurahi muda wote
Ill be around whenever he need me ..ntakuwepo muda wote atakaonihitaji
Akiwa na muda ningependa tusafiri ata nje ya nchi kwamambo mbalimbali
Kama yupo mkoa nipo tayari kumtembelea mara kwa mara
La mwisho mm ni ke 29 - 32yrs
Mwenye kababy face kazuri kenye aibu za kutosha, mpole usoni ila chumban sina upele
Vijana mtanisamehe sana sina nafasi kwenu na sitajisumbua nanyi
Nahitaji wazee tu..
Matusi sitaki katika uzi wangu.
NAKARIBISHA PM KWA BABAZ 58YRS UPWARD..ata ukija na fekero account sawa ila ukidhi mahitaji na vigezo
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida sio yeye bali ni waliomlea. Usishangae ukakuta Ukoo wao ndio upo hivyo. Ila kama wazazi waliplay part vizuri ya malezi ninauhakika mtoto wao hawezi fikiri jambo kama hilo.
Vinginevyo awe ameleta mada kuchangamsha genge
Hahahahhahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mangi mi sitaki
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu yeye anajiona ana haki na ana moral authority ya kutangaza hii aibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujaweza hata kuwa dada angu,
Ndio hizo familia kitoto kimepata tuu degree moja eti kinaweza fanya lolote kisa eti kinajielewa. Familia za hivyo huwaga zinaelimu ndogo usikute ukoo mzima kama sio kabila aliyesoma ni yeye basi wanakiacha kifanye kinachotaka.
Lakini kwenye familia kubwa na koo kubwa huwezi sikia hadithi za namna hii hata ungekuwa Profesa. Ukifanya upuuzi unawekwa sawa ukikataa hatua za juu zinafuatwa.
Sasa hiki kidada kinadhalilisha familia na ukoo alafu hakijatambua jambo hilo.
Ni sawa na kijana mdogo aoe kimama alafu familia na ukoo unamtazama tuu. Hiyo hutokea kwenye familia za kipuuzi tuu
Vijana wenzako wana nini mpaka utake vizee, nyie ndiyo wachawi wenyewe nyie mkiona mzee kachukua mafao yake mnaua na kuzika bila jeneza, dhambi zitawatafuna
Sent using Jamii Forums mobile app
ufukara wa mali na fikra pia ndiyo vinamsumbua huyu!Nakumbuka maneno ya Bibi yangu kuwa Umasikini ni mbaya sana.
unadhani huyu binti angekuwa na kazi yenye kipato hata cha laki saba angefikiri upuuzi huu. Shida ni umasikini wa mali na akili
Asanteni kwa ushauri wenu wote..
Lakini poleni sana maana hautabadili maamuzi yangu..
Nahitaji mzee wa kula nae maisha
Vijana siwahitaji kabisa ata kuwasikia
Kwanza upeo wenu wa kufikiri na kupambanua mambo ni mdogo NA MM NI MWANAMKE MWENYE IQ kubwa sana wanaume wengi wanasemaga nina akili za kiume...hivyo vijana hatuwezani mimi nawaza 200 kijana ndo kwanza yupo kwenye 20 katika kufikiri...
Vijana kaeni tu pembeni
Nakaribisha wazee kwa mikono miwili
Sent using Jamii Forums mobile app