Watu wazima , kuanzia 58 yrs Nawazoom!

Watu wazima , kuanzia 58 yrs Nawazoom!

Yaani mtu humjui halafu unasema eti sema huna hela tu, yaani nitafute pesa kuja kusumbuana na fake ID ambayo inawezekana jinsia ya kiume inasumbua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Pesa haiendi hivyo, pambana na hali yako!

Sent using Jamii Forums mobile app
hivi utawindaje mnyama usiyemjua?
malaya wapambane na hali zao wanaume sio maboya kihivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani mtu humjui halafu unasema eti sema huna hela tu, yaani nitafute pesa kuja kusumbuana na fake ID ambayo inawezekana jinsia ya kiume inasumbua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Pesa haiendi hivyo, pambana na hali yako!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hela haipigi kelele dear...hujalazimishwa kama huelewi somo pita ivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawashangaa...hawajui kama Bure kafa muda tu...
wadada mnaotaka kujua wakaka wenye pesa na wasio nacho huu uzi kaeni hapa hapaaa..watu wanatokwa na majasho huku[emoji23][emoji23]wengine wamegeuka wahubiri na wainjilist kbs[emoji23][emoji23][emoji23]nacheka tu mm..umaskini kwakweli ht mm nauchukia sana thts y unaona kbs watu wanastress wanatukana tu hovyo hovyo...jaman tafutenu tu pesa..ndo dawa.iliyobaki..si me wala ke!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom